Mahakama yatupilia mbali ombi la Lulu

Wampime meno au dna kujua LuLu ana miaka mingapi. Ili kuondoa Ubishi.

Nani asiyejua Tanzania vyeti vya kuzaliwa vinachongwa kila kona. Hata mimi leo nikitaka nitakipata.

Mimi naona inabidi Mahakama za kiTanzania wafike mahali watumie evidence za kisayansi sio siasa za wanasheria.

Through scientific evidence, kesi kama ya Lulu sio ya kukaa muda mrefu.
 
mbona wanatuchanganya mbona kwenye birthday yake alisema mwenyewe kwa kinywa chake kwamba ana umri wa miaka kumi na nane na kama ni hivyo mbona alikuwa akisaini mikataba mbalimbali ko cha msingi ni kufuatilia tu dna na sio maandishi vyeti siku hizi ni elfu kumi na tano tu unachukua labda iwe kadi ya kliniki hiyo atleast nina mfano mdada mmoja amezaliwa 1981 lakini kwenye cheti kaandika 1987 so cheti sio kigezo.
 
Back
Top Bottom