Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,390
- 31,338
Fair enough hebu tuishi dunia yako ili tujadilianeNadhani unaishi kwenye dunia ya kufikirika.
Strength ya katiba ni kujenga institutions imara na kuzuia uharibifu pale unapotokea, nimekupa UK, India, Germany and Israel as case in point. USA ni mfano mzuri wa institution imaraStrength ya katiba (na hata ya sheria) bila watawala waadilifu doesn’t exist.
Kama utakumbuka Gen Miley na Speaker Pelosi walikutana ku-secure nuclear code in worst case scenario.
Pence hakuwa muadilifu aliogopa consequences. Kabla ya kwenda katika Joint session ys Congress, VP Pence aliwasiliana na former AG M. Mukasey aliyemwambia hakuna kifungu chochote kinachomruhusu kubadili matokeo.Kama Mike Pence angekosa huo uadilifu, Marekani ilikuwa imegota.
Pence alijua hatari mbele yake kwa kuzingatia Katiba na sheria.
Hapa ndipo nimetambua kuna vitu ima huelewi au unasimuliwa.Hakuna Ibara ya US Constitution inayoilazimisha US Senate kuthibitisha electoral votes za state yoyote.
Senate haithitibitishi electoral votes, hakuna.
Kilichotokea January 6 ni attack kwa Joint Session ya Congress. Joint session ni Senate na House. Counting of electoral votes ni kazi ya Joint Session ya Congress si Senate
Please note , Senate haina mandate! ni Joint session of Congress. Unachozungumzia ni AnachronismKama VP (ambaye ndiye president of the US Senate) na US Senate yake wangeamua kuzikataa electoral votes za swing states, Marekani ilikuwa haina ujanja wowote zaidi ya kuwa kwenye impasse ambayo ingempa Trump excuse ya kutangaza state of emergency.
Hapa unaangalia mambo kwa ufinyu. Katiba ya US inampa Rais mandate to hire and fire!Department of Justice (ambayo kimsingi ndiyo ina dhamana ya kulinda rule of law) ni toothless linapokutana na president mhuni kama Trump. Uliona jinsi alivyomtumbua then AG Jeff Sessions kwasababu tu alijiengua katika kusimamia uchunguzi wa interference ya Russia katika US General Election ya 2016. Uliona pia alivyomtumbua then FBI Director James Comey. Where were the US Constitution and Laws when this occurred?
Katika kufanya hivyo kuna guardrails na kuwatimua hao hasa Comey ndio ili trigger Deputy AG Roseinstein kuanzisha kamati ya Mueller ya Russia investigation.
Again sijui kwanini huelewi. Tunasema hivi lazima kuwe na 'checks and balances''Asikudanganye mtu, ni nchi chache sana ambazo zina judges na CAG ambao sio wateule wa Rais au Prime Minister.
Mfano, US AG, Joint Chief of Staff, AG n.k. wanaweza kuitwa na kuhojiwa na kamati za Congress
CAG ana utaratibu wa kuondolewa na kilichofanyika kwa Prof Assad na kwa mujibu wake pia hakikuwa sawa. Ni utaratibu unaojulikana. Katiba ya 1977 ilikiukwa na kwavile inaumwa sana haikuweza kujitetea wala hatukuweza kuitetea . Absolute power. Umeelewa japo kidogo!
Kwa katiba ya 1977 ilivyo taabani lolote linawezekana.Mahakama nayo ni political institution yenye vulnerabilities zote za political institutions. A rogue president can easily engineer the removal of a strong CJ (hata kama huyo CJ sio mteule wa Rais). Rais anazo resources za kila aina kuwezesha hili kufanyika.
Haiwezi kutoka CJ wa Kenya kuondolewa kikuku au kuajiriwa kwa probation.
Yes kwavile unaiangalia katiba ya 1977 sidhani kama utakuwa unakosea.Narudia tena, kwa nafasi ya Rais, hakuna substitute ya uadilifu! Ni sawa tu na jinsi crimes zingine zinavyoendelea kuwepo hata baada ya nchi kuwa na sheria zinazotoa adhabu kali, including the death penalty!
Ukiangalia Dunia kwa ujumla ipo siku utarudi kufuta hayo maelezo.
Hii kesi ya Mbowe kwakweli nilitamani iendelee kwa miezi zaidi, inasaidia sana Umma kuelewa matundu na kufikiria mbadala ikiwemo Katiba