residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,018
- 9,606
Akhsante mkuu@Kamugumya kwa kumuorodhesha mzee wangu kuwa mmojawapo ya majaji bora watenda haki kuwahi kutokea.Toka kizazi cha majaji tajika kama Jaji Lugakingira,Jaji Kati,Jaji Mapigano,Jaji Mwalusanya,Jaji Chipeta na wengine wa aina hiyo waliokuwa real bold spirted judges,kwa sasa tuna kizazi cha majaji wasiojielewa na wasiomjua nguvu waliyonayo katika kusimamia Uhuru wa muhimili wa mahakama katika kutenda haki. Inasikitisha.
Mungu akubariki.