Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 12,500
- 17,571
Bunge la mazuzu ...Ikulu ya kipusa hapo patamuBunge la mazuzu.
Bunge la mazuzu ...Ikulu ya kipusa hapo patamuBunge la mazuzu.
Akili kama mtaroJif
Jifariji kijana nyie ni wale mnaitwa wapambe mnao tembea nyuma ya watu na kusifia ili mpate chakula na vibia mnywe kisha mkalale kusikojulikana.
Endelea kumsifia pengine utalewa siku moja pesa yake.
Wakati akiwa NSSF ni matokeo gani alifanya huko, kununua viwanja heka milioni mia saba?
Na hakuzuia.
Inafikirisha sana....Mazuzu kumhoji mtu timamu 🤣🤣🤣
Ya kwako kam shimo la choo,Akili kama mtaro
Tamaa ya kuonja onja.Mkuu unakuwaje na mahusiano na mazuzu😂😂😂
Aksante sana zuzu!Nenda Dodoma ukaungane na mazuzu wenzako!
Mzuzu unajisemesha!Na ww utakuwa miongon mwa wale mazuzu