Mahakama yatoa ONYO kali kwa Madaktari

Mahakama iache kutumiwa na ccm . Suluhisho ni kutekeleza makubaliano tu. Mbona wabunge wengi ni watoro bungeni serikali haiwashitaki mahakamani na bado wanachukua posho za vikao.
 
Back
Top Bottom