Mahakama yasema haina mamlaka ya kumfutia mashtaka Michael Wambura

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Michael Wambura amerudishwa tena rumande hadi Februari 28, 2019

Wambura anakabiliwa na mashtaka 17 yakiwemo ya uhujumu uchumi

Wakili wake Majura ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imfutie mashtaka hayo kwa maelezo kuwa si ya uhujumu uchumi

Mahakama imejibu kuwa haina mamlaka ya kumfutia kesi bwana Wambura
 
Back
Top Bottom