Mahakama yaruhusu Manji ahojiwe na Polisi juu ya sakata la Uhujumu Uchumi

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
pic+manji.jpg

Kwa ufupi
  • Uamuzi huo umetolewa leo Jumatatu na Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi ambapo amesema ameruhusu washtakiwa wahojiwe baada ya kuandikiwa barua na Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalum (ZCO).
Mahakàma ya Hakimu Mkazi Kisutu imeruhusu mfanyabiashara Yusuf Manji na wenzake watatu wahojiwe na Polisi katika kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili.

Uamuzi huo umetolewa leo Jumatatu na Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi ambapo amesema ameruhusu washtakiwa wahojiwe baada ya kuandikiwa barua na Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalum (ZCO).

Washtakiwa wengine katika kesi hiyo kuwa ni Deogratius Kisinda, Abdallah Sangey na Thobias Fwere.

Hakimu Shahidi alisema kuwa kama mahakama ikizuia washtakiwa hao wasiende kuhojiwa polisi itakuwa inapingana na barua ya maombi iliyowasilishwa mahakamani hapo kutoka kwa ZCO

"Nikisema mahakama izuie wasihojiwe itakuwa tunapingana nao, wakati kila siku tunapigiana kelele kila siku kuhusu upelelezi kukamilika. Hivyo sifikirii kesi hii kila siku iwe inatajwa tu."

Hakimu Shahidi aliwakabidhi washtakiwa hao kwa Koplo Dotto ambapo amemtaka hadi kesho muda wa kazi wawe wamerudishwa mahakamani.

=============

Chuki za kipuuzi
 
Leo September 4 2017 haikuwa tarehe iliyotajwa ya mfanyabiashara Yusuf Manji na wenzake watatu kufika mahakamani lakini amefikishwa mahakama ya hakimu makazi Kisutu ili itolewe ruhusa ya Manji na wenzake watatu kuhojiwa na Polisi katika kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili.
Hakimu mkuu mkazi Huruma Shaidi ambapo amesema ameruhusu washtakiwa wahojiwe baada ya kuandikiwa barua na mkuu wa upelelezi ZCO, hakimu wa upelelezi alimkadhi Manji kwa Koplo Dotto ambapo wamemtaka hadi kesho muda wa kazi wawe wamerudishwa mahakamani

Chanzo: Bongo5
 
Kwani manji ndiye aliyesaini mikataba ya kuliibia taifa ?kwan manji ndiye aliyepitisha sheria mbovu bungeni kwa kuitikia ndiooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!?kwan manji ndiye aliyesababisha makanikia?

kwani rugemalila ndiye aliyesaini na kuruhusu mabilioni ya escrow?mbona waliosaini wako mtaani wanadunda alafu tunajigamba eti tunapambana na ufisadi kwel?inawezekana vp?je wale waliotajwa kwenye mapendekezo ya tume ya pili ya chama cha makanikia mbona hakuna hata mmoja aliye kamatwa?badala yake tunaona upinzani ndio unashinda polisi na mbalon, au wao pamoja na kusaini wako juu ya sheria hawaguswi bali wanatafutwa wa kuwabebea mzigo ndo imeisha???????????!??!? nchi hii chin cha chama cha makanikia inataabu sana ...na wananchi washangilia upepo wanajikaanga kwa mazutu yao wenyewe!!!!
Nchi haiwezi kuendelea kwa visasi na kushughulika na majina ya watu fulani na kuwaacha wahalifu wakiendelea kutanua mtaani na kuwaaminisha watz kuwa wao ni wasema kweli!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamuhoji tu ili ijulikane kuliko danadana zisizoisha.

Ila itakuwa ni vindeo tu kama ishu ya akina Rugemalila
 
Wanasema kosa la Rugemalila na Seti ni kuwarubuni Tanesco na waziri muhongo wawaibie pesa hazina na kuwapa bure bila kuzitolea jasho
 
Na bado Kuna watanzania kwa idadi kuubwa sana wanaamini hii ni vita dhidi ya ufisadi na fisadi pekee ni huyo YM, kwamba akifungwa na kutaifishwa mali zake nchi itakuwa kwenye maziwa na asali au akifa kwenye mikono yao wenye dola ndo itakuwa ashindi mkubwa dhidi ya ufisadi na mafisadi.

Kwenye ripoti ya prof Osolo na wenzake waliainisha mambo mengi ya kufuata ili kujinasua la kushangaza limefuatwa moja na mengine likiwemo lile la kuwahoji wale watukufu limekaliwa kimyaa...... Hii pekee inaondoa maana pia na uzalendo kwa wengi wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho wanamtoa kwa dhamana..hakuna kesi basi tu..Mwenyekiti rudi uraiani kiti chako Yanga kinafutwa vumbi
 
Back
Top Bottom