Mahakama yaongeza muda wa zuio la Wabunge kulipwa posho za makazi

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
mps-1.jpg


Wabunge nchini humo walipitisha azimio la kulipana posho kwa ajili ya nyumba kiasi cha Shilingi za Kitanzania milioni 5.5 kila mwezi

Tume ya Mishahara nchini humo alifungua kesi ya kupinga ongezeko hilo mnamo Oktoba mwaka jana. Tume ilieleza kuwa malipo hayo kwa Wabunge ni matumizi mabaya ya fedha za umma

Mahakama imesogeza muda wa kusikiliza shauri hiko hadi Juali 24 mwaka huu

Endapo azimio hilo litapitishwa, Wabunge 416 watapokea malipo hayo kila mwezi


=======

The orders stopping the Parliamentary Service Commission (PSC) from further paying MPs Ksh.250,000 monthly house allowance has been extended.

Presiding Judge John Mativo had earlier this month directed that the suspension remain in force until the SRC case is heard and determined today (Wednesday).

However, the order still stands until June 24 pending hearing of the matter.

The MPs awarded themselves Ksh.25o,ooo in monthly house allowances backdated to October 2018.

Each of the 416 members of parliament that is, 349 National Assembly members and 67 senators were to get the allowance.

The SRC was opposed to this move as it warned the scheme would result in loss of public funds in excess of Ksh.99.5million per month and Ksh.1.194 billion annually.

The commission then went to court seeking to recover the MPs house allowances which it argues are unconstitutional.
 
Kweli Kenya kuna manyang'au, tz tunaiba kwa kijiko ila Kenya wanaiba kwa koleo
 
Back
Top Bottom