Mahakama yamwamuru Lissu kufika mahakamani

U
Najua Tundu hawezi na hana sifa ya kuwa no. 1 wetu. Lkn kwa matendo haya dhidi ya mahakama ni mfano hai wa nchi kusadikika atakayoiongoza bwana huyu. Mbinafsi, mbishi, mwenye dharau na asiye na chembe ya staha kwa wenzake.

Naishangaa mahakama nayo kwa kufumbia macho hii contempt of court anayofanya msomi huyu wa kufikirika tena kwenye kesi ya jinai. Kwa nn hakimu asisikilize mashauri ya Lissu expatre?

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
unamfokea nani sasa?
 
ndo kusema ili akae ndani hadi kampeni ziishe,hofu ya nn wakati wamefanya makubwa kuliko hata wakoloni
 
..Hakimu anatumika kumuwekea TL "spidi-gavana."

..ili haki itendeke ni kesi zote zilipaswa kuahirishwa mpaka baada ya uchaguzi.

..TL siyo mhalifu sugu au wa kutisha, hivyo kesi hizo zinaweza kumsubiri.

..HAKI inapaswa kutendeka, na zaidi inapaswa kuonekana inatendeka.
mhamiaji haramu alali usingizi tangu ujio wa lisu
 
Back
Top Bottom