Mahakama yamuondoa Madarakani Rais wa Korea ya Kusini, agoma kutoka Ikulu

LOSEJMASAI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
332
856
_95063882_a961d3a2-fb0e-47b9-a409-e85b75bdeb50.jpg


Aliyekuwa Rais wa Korea ya Kusini, Park Geun-hye, ameondoleshwa madarakani leo ijumaa, na mahakama ya katiba ya korea ya kusini.

Hii inafuatia maandamano ya muda mrefu kufatia rais huyo kuhusishwa na ufisadi.

Majaji wote nane katika mahakama ya katiba ya korea ya kusini wamekubalia Park Geun-Hye aondoshe madarakani na uchaguzi wa rais utafanyika baada ya siku 60.

Tukio la mahakama lilikuwa linarushwa live muda mfupi uliopita kwe viu


Uhusiano wa Tanzania na Korea ya Kusini.
Kufuatia hali ya kusuasua kwa upatikanaji wa umeme nchi, Serikali ya Korea ya kusini ina mpango wa kuanzisha kituo cha nishati huko Arusha mwaka huu (2017) . Hiki kituo kina lengo la kuongeza na kukuza upatikanaji wa nishati, ambacho kitajengwa Nelson Mandela African Institute of Science and Technology huko Arusha.

Pia tanzania ilichaguliwa kuwa mhisani wa muhimu kwa ajili ya Official Development Assistance (ODA) kuanzia 2016.

Mabadiliko ya kisiasa huenda ya kaathiri kwa namna moja ama nyingine sera za kimataifa za Korea ya kusini.

UPDATE:

Rais huyo aliyetolewa madarakani amesema hatoondoka Ikulu leo wala kutoa tamko lolote.

========

South Korea's President Park Geun-hye has become the country's first democratically elected leader to be forced from office.

Judges unanimously upheld Parliament's decision to impeach Ms Park over her role in a corruption scandal involving close friend Choi Soon-sil.
She now loses her presidential immunity and could face criminal charges.

There have been angry scenes outside the court, as supporters of Ms Park protested against the verdict.

South Korea's Yonhap news agency reported that two people had died, including one elderly man who fell from a police van. The details are still emerging.

The court ruling is the culmination of months of turmoil which brought South Koreans to the streets in protest.

Ms Park has been suspended from presidential duties since December, when parliament voted to impeach her, with the country's prime minister taking over her responsibilities.

The court decision means South Korea must now elect a new president by early May.

Ms Choi meanwhile has been charged with bribery and corruption for allegedly pressuring big companies to give money in return for government favours. Ms Park has been accused of colluding with her. Both women have denied wrongdoing.

Why did she lose her job?

_95063963_291cf921-bc74-4f80-b168-fcf21b78ae66.jpg


A panel of eight judges at the country's top court examined several charges related to the impeachment before finally deciding to uphold her dismissal as president.

It ruled she broke the law by allowing Ms Choi to meddle in state affairs and breached guidelines on official secrets by leaking numerous documents.

Her action "seriously impaired the spirit of... democracy and the rule of law", said constitutional court chief justice Lee Jung-mi.

The judge added that Ms Park had "concealed completely Choi's meddling in state affairs and denied it whenever suspicions over the act emerged and even criticised those who raised the suspicions."

But the court dismissed other charges such as infringement on freedom of press by creating a media blacklist, and inaction during the 2014 Sewol ferry disaster.


Source: BBC

UPDATE:
South Korea’s presidential office says ousted leader won’t vacate presidential palace today and won’t make any statement.
 
Mahakama ya Korea kusini yamtumbua Rais wao kwa kosa la Tais kufanya upendeleo wa rafiki yake kwenye uongozi (source, DW). Tunajifunza nini hapo?
 
Wana sheria nzuri. Hakuna madicteta uchwala kule.kila mtunyuko chini ya sheria.
 
- Alikuwa rais wa kwanza mwanamke wa nchi hiyo.

- Amekuwa rais wa kwanza kuondolewa madarakani nchini humo.

- Serikali yake ilikuwa inaandamwa na kashfa nzito za ufisadi wa kutisha. Kashfa hizi zilisababisha maandamano makubwa katika miji mikubwa ya nchi hiyo kwa miezi kadhaa.

Hii ndiyo faida ya kuwa na mihimili ya serikali inayojitegemea. Rais haiwezi kufanya anavyotaka.
2500c644741bba371c36d07c543a6efb.jpg
Source: The New York Times
 
Brazil alikuwa Rouseuf Dilma, wakamuondoa madarakani kwa skandali za ufisadi. Sasa hivi ni South Korea. Mama zetu mipesa nchi mziendeshe kwa akili, hisia wekeni kando
 
Lakini mkuu hata nchi za Afrika tuna scenario kama hizi, na bahati mbaya/nzuri haziongozwi na wanawake.
hembu naomba unitolee mfano nchi ya africa ambayo raisi aliondolewa through impeachment na court ikatoa go ahead of it......especially rais akiwa mwanaume mimi labda historia imenipita pembeni kidogo
 
hembu naomba unitolee mfano nchi ya africa ambayo raisi aliondolewa through impeachment na court ikatoa go ahead of it......especially rais akiwa mwanaume mimi labda historia imenipita pembeni kidogo
Sikulingalisha rais kuondolewa madarakani kupitia mahakama, nilichopingana na wewe ni kilichosababisha rais wa S.Korea kutolewa madarakani (matumizi mabaya ya madaraka of which is corruption to be precise). Hoja yako ilikuwa ni kwa sababu ni mwanamke ndio maana hayo ya rushwa yakatokea, nami nikatofautiana na wewe kuwa tuna same scenario huku Afrika na wanaoongoza ni wanaume.
Labda niongeze tu kuwa nchi nyingi za Afrika kuwa na impeachment bado safari ni ndefu,wewe mwenyewe unafamu. Angalau S.Africa wanajaribu hata kumtingisha Zuma mahakamani kwa kiasi flani.
 
Back
Top Bottom