Mahakama yaiomba Urusi kutowanyonga waingereza waliojisalimisha

BigTall

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
414
1,026
Shaun Pinner na Aiden Aslin 2.jpg
Mahakama ya Ulaya ya Haki za Binaadamu (ECHR) imeitaka Urusi kuzuia hukumu ya kunyongwa kwa raia wawili wa Uingereza waliohukumiwa kifo katika eneo la Mashariki mwa Ukraine.

Waingereza hao Shaun Pinner na Aiden Aslin waliohamishia makazi yao Ukraine na kujiunga na jeshi la Nchi hiyo mwaka 2018, walihukumiwa kifo katika Mji wa Donetsk, Juni 2022 baada ya kujisalimisha kwa Jeshi la Urusi wakati mapigano yakiendelea.

Mahakama ya ECHR ni sehemu ya Baraza la Ulaya iliyoiondoa Urusi kuwa mwanachama wake mwezi Machi 2022 kufuatia hatua ya kuivamia Ukraine.

Source: Politico

Shaun Pinner na Aiden Aslin.png
==============

The European Court of Human Rights on Thursday said it had urged the Russian government not to carry out the death penalty against two British prisoners, Shaun Pinner and Aiden Aslin.

The Strasbourg-based court asked Moscow “to ensure that the death penalty imposed on [the prisoners] was not carried out,” as well as to make sure they were detained in appropriate conditions and provided with necessary medical assistance.

The two Britons face the death penalty in the so-called Donetsk People’s Republic, which is ruled by pro-Russian authorities, because they were accused of being mercenaries. The ECHR said the two men had been fighting with the Ukrainian armed forces since 2018, making them legitimate soldiers.

They were sentenced to death in early June by a Donetsk court, which is not internationally recognized.

U.K. Foreign Secretary Liz Truss slammed the decision as “a sham judgment with absolutely no legitimacy.”

A Moroccan national, Brahim Saadoune, was also given a death sentence by the Russians on the same grounds, and the ECHR issued a similar ruling earlier this month.

In a joint article released earlier this week, Truss and Ukrainian Foreign Minister Dmytro Kuleba said that “Russian proxies have breached the Geneva Convention [which lays out the rights of prisoners of war] in the way they treat prisoners of war, including British citizens serving in the Ukrainian Armed Forces.”

The human rights court requested that the Russian government provide information within two weeks to show what actions have been taken to respect the rights of both prisoners.

Although Russia has been excluded since mid-March from the Council of Europe, which oversees the Strasbourg court, Russia is still party to the European Convention on Human Rights until September 16. Failing to follow the court’s instructions (which is likely) would constitute a breach of the convention.
 
Unajua hawa west sometimes ukiwafikiria utagundua either ni vichaa or hawajui wanachokitaka.

Russia wameibrrand kama taifa la kimafia lisiloheshimu haki za binadamu, wamemtoa kwenye mfumo wa mahakama zao, wao ndio wa kwanza kuweka vikwazo vinavyokiuka sheria za kimataifa at the smame time wanataka Russia ifuate sheria za kimataifa ...
 
Mi naona Kama wamedata ,sasa walivyomfukuza kua mwanachama walijua wanamkomoa au wanampiga chura teke .toka siku niliosikia wanamfuta uanachama nilishangaa nikawa nawaza mwenyewe sasa so ndio vizur atafanya anavyotaka sababu hayupo kwenye hizo sheria sasa ataathirika vipi ? Nikaona labda Sina ninalolijua hahaaha
 
Haya majamaa ni tofauti na tunavyowaona tumewapa sifa nyingi wasizostahili
 
Hata Korea Kaskazini na Iran hawawezi kufanya wanavyotaka hata kama sio wanachama wa Ulaya
Mi naona Kama wamedata ,sasa walivyomfukuza kua mwanachama walijua wanamkomoa au wanampiga chura teke .toka siku niliosikia wanamfuta uanachama nilishangaa nikawa nawaza mwenyewe sasa so ndio vizur atafanya anavyotaka sababu hayupo kwenye hizo sheria sasa ataathirika vipi ? Nikaona labda Sina ninalolijua hahaaha
 
Unajua hawa west sometimes ukiwafikiria utagundua either ni vichaa or hawajui wanachokitaka.

Russia wameibrrand kama taifa la kimafia lisiloheshimu haki za binadamu, wamemtoa kwenye mfumo wa mahakama zao, wao ndio wa kwanza kuweka vikwazo vinavyokiuka sheria za kimataifa at the smame time wanataka Russia ifuate sheria za kimataifa ...
Issues sio kwamba hawajui wanachofanya Bali Wana kiwango kikubwa Cha ubinafsi ndio kinacho watafuna
 
Mi naona Kama wamedata ,sasa walivyomfukuza kua mwanachama walijua wanamkomoa au wanampiga chura teke .toka siku niliosikia wanamfuta uanachama nilishangaa nikawa nawaza mwenyewe sasa so ndio vizur atafanya anavyotaka sababu hayupo kwenye hizo sheria sasa ataathirika vipi ? Nikaona labda Sina ninalolijua hahaaha
 
Unajua hawa west sometimes ukiwafikiria utagundua either ni vichaa or hawajui wanachokitaka.

Russia wameibrrand kama taifa la kimafia lisiloheshimu haki za binadamu, wamemtoa kwenye mfumo wa mahakama zao, wao ndio wa kwanza kuweka vikwazo vinavyokiuka sheria za kimataifa at the smame time wanataka Russia ifuate sheria za kimataifa ...

WEST hawana utofauti na mwanamke hawajui wanataka nini, I STRONGLY AGREE
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom