Mahakama yaamuru Dereva wa "Ndugu abiria" kulipwa Tsh Milioni 150

Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni leo Agosti 10, 2022 imeiamuru Kampuni ya Bima ya Dexter Insurance kumlipa dereva wa Kampuni ya mabasi ya New Force, Waubani Linyama maarufu kama ‘Ndugu abiria’ fidia ya Shilingi milioni 150 kwa kosa la kutumia picha yake kwenye mitandao ya kijamii kujipatia faida au biashara bila idhini yake.
Anunue basi aliingize kwenye kampuni, ila sasa nyumba ndogo barabara anayopita zitamsumbua kwa matarajio.
 
Screenshot_20220810-144506.jpg
 
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni leo Agosti 10, 2022 imeiamuru Kampuni ya Bima ya Dexter Insurance kumlipa dereva wa Kampuni ya mabasi ya New Force, Waubani Linyama maarufu kama ‘Ndugu abiria’ fidia ya Shilingi milioni 150 kwa kosa la kutumia picha yake kwenye mitandao ya kijamii kujipatia faida au biashara bila idhini yake.
Milioni 150 ni hela ndogo sana kwenye matumizi japo ni nyingi kwa kuitamka. Nimependa ujasiri wake wa kupigania haki yake, ni mwanzo mzuri wa kuwa na kizazi cha watu wachache wanaojitambua.
 
Picha ile ilimpa kwanza mshtuko, pili hofu na madaktari wanethibitisha kuwepo kwa woga kutokana na fedheha hivyo kuhesabika kama udhalilishaji na kuchafua hadhi yake, mahakama inaombwa kutoa adhabu kali mnoo kwa mshitakiwa ili iwe onyo kwake na wote wenye tabia kama hiyo
 
Back
Top Bottom