Mahakama ya Ujerumani yapiga marufuku kutahiriwa kwa watoto wadogo!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
German court bans circumcision of young boys

BERLIN | Wed Jun 27, 2012 1:05pm EDT

(Reuters) - Jewish and Muslim groups protested on Wednesday after a German court banned the circumcision of young boys for religious reasons in the first ruling of its kind in the country.

The court in the western city of Cologne handed down the decision on Tuesday in the case of a doctor prosecuted for circumcising a four-year-old Muslim boy who had to be treated two days later for post-operative bleeding.

It ruled involuntary religious circumcision should be made illegal because it could inflict serious bodily harm on people who had not consented to it.

However the ruling, which applies only to the Cologne area, said boys who consciously decided to be circumcised could have the operation. No age restriction was given, or any more specific details.

The doctor, who was prosecuted after the hospital doctor who treated the boy for bleeding called police, was acquitted as there was no law banning religious circumcision at the time.

The Central Council of Jews in
Germany called the ruling an "unprecedented and dramatic intrusion" of the right to religious freedom and an "outrageous and insensitive" act.

"Circumcision for young boys is a solid component of the Jewish religion and has been practiced worldwide for millennia. This religious right is respected in every country around the world," President Dieter Graumann said in a statement.

"INTERFERENCE"

The Central Council of Muslims in Germany called the sentence a "blatant and inadmissible interference" in the rights of parents.
"Freedom of religion is highly valued in our constitution and cannot be the play-thing of a one-dimensional case law which, furthermore, consolidates existing prejudices and stereotypes," it said in a statement.

According to the court ruling, "the fundamental right of the child to bodily integrity outweighs the fundamental rights of the parents".

"The child's body is permanently and irreparably changed by the circumcision. This change runs counter to the interests of the child, who can decide his religious affiliation himself later in life," it said.

Germany is home to about 4 million Muslims and 120,000 Jews. In Judaism, eight-day-old male infants are circumcised to recall the covenant established between God and the Hebrew patriarch Abraham.

The time for Muslim circumcision varies according to family, region and country.

Concerned the ruling could be followed in other parts of the country and that it could prevent doctors carrying out circumcisions for fear of prosecution, the Central Council of Jews urged the German parliament "to provide legal clarity in order to prevent attacks on religious freedom".

The World Health Organisation estimates 30 percent of men worldwide are circumcised.

In countries including the United States, many parents cite health reasons for having boys circumcised, saying it improves hygiene and can cut the risk of the spread of disease.

Female genital mutilation is forbidden across Germany.

Reporting By Elisa Oddone; Editing by Tom Heneghan and Pravin Char

German court bans circumcision of young boys | Reuters
 
Hilo sio jipya kwa Ujerumani.twahara inafaida yake na mkono wa koti una matatizo na ni laisi kuambukizwa magonjwa ya zinaaa
 
Kumtahiri mtoto ni unyama usiokubalika, pia ni ukatili ulio vuka mpaka.

Utafiti unaonyesha, watoto wakitahiriwa wakiwa wadogo huzuia mboo kuwa kubwa na yenye afya, pili mtoto akikuwa huku akiwa kesha tahiriwa huwa na ujasiri wa kufanya na kuomba ngono hovyo hovyo, tofauti na mwenye gomvi ambae hajatairiwa huogopa kuomba ngono akikwepa fedheha ya kudhalilishwa kwamba anagomvi na kumfanya awe na afya bora mbali na magonjwa ya zinaa.

Mfano mimi nilitairiwa nikiwa na umri wa miaka 24 na toka utotoni mwangu sikuwahi kufanya ngono coz niliogopa kudhalilishwa na gomvi langu, baada ya kutahiriwa nikamaliza mwaka mmoja nikaoa mke na ndo niko nae sijawahi nongoana na mwanamke mwingine ni huyu wangu tuu.
 
Kumtahiri mtoto ni unyama usiokubalika, pia ni ukatili ulio vuka mpaka. Utafiti unaonyesha, watoto wakitahiriwa wakiwa wadogo huzuia mboo kuwa kubwa na yenye afya, pili mtoto akikuwa huku akiwa kesha tahiriwa huwa na ujasiri wa kufanya na kuomba ngono hovyo hovyo, tofauti na mwenye gomvi ambae hajatairiwa huogopa kuomba ngono akikwepa fedheha ya kudhalilishwa kwamba anagomvi na kumfanya awe na afya bora mbali na magonjwa ya zinaa. Mfano mimi nilitairiwa nikiwa na umri wa miaka 24 na toka utotoni mwangu sikuwahi kufanya ngono coz niliogopa kudhalilishwa na gomvi langu, baada ya kutahiriwa nikamaliza mwaka mmoja nikaoa mke na ndo niko nae sijawahi nongoana na mwanamke mwingine ni huyu wangu tuu.

Duh miaka 24 ndio.umetahiriwa hahahahahaha....
 
Yesu alitahiriwa akiwa na siku 8 ! Na kutahiri ni agano la kudumu alilopewa Nabii Ibrahim na ni dalili kwa wale walioyo na 'Imani ya Kweli'
 
Kumtahiri mtoto ni unyama usiokubalika, pia ni ukatili ulio vuka mpaka. Utafiti unaonyesha, watoto wakitahiriwa wakiwa wadogo huzuia mboo kuwa kubwa na yenye afya, pili mtoto akikuwa huku akiwa kesha tahiriwa huwa na ujasiri wa kufanya na kuomba ngono hovyo hovyo, tofauti na mwenye gomvi ambae hajatairiwa huogopa kuomba ngono akikwepa fedheha ya kudhalilishwa kwamba anagomvi na kumfanya awe na afya bora mbali na magonjwa ya zinaa. Mfano mimi nilitairiwa nikiwa na umri wa miaka 24 na toka utotoni mwangu sikuwahi kufanya ngono coz niliogopa kudhalilishwa na gomvi langu, baada ya kutahiriwa nikamaliza mwaka mmoja nikaoa mke na ndo niko nae sijawahi nongoana na mwanamke mwingine ni huyu wangu tuu.

Inategemea na jamii unayotoka...... mbona wajaluo wanafanya ngono tangu miaka kumi naa (teen) wakati hawajatahiriwa....... teh.. teh...
 
Kuchelewa sio aibu,kwani takwimuzimeonyesha 70% hawajatahiriwa,kwa hiyo kinyume chake ndio aibu..teheteheee!
 
ni maamuzi yake yule,labda mpenziwe (mkewe after 1 yr alipotahiri)ndo alimshawishi
ila govi mwake mwake sana tu

mhh! mkuu mbona unatetea govi kwa nguvu zote yaani! pole man kama imekugusa
 
Wajaluo ni hulka yao, mfano wakikuyu hutahiri watoto wao pindi wanapomaliza shule ya msingi darasa la nane akiwa na umri wa miaka 15-17 hivyi. Sasa nione aibu ipi mbona masai hutahiriwa wakiwa wakubwa na hawaoni aibu. Gomvi langu lilinisaidia nikawa na mtarimbo imara sana mke wangu anafaidi sana jaribu kumuliza atakuambia anaikubali kiukweli.
 
Back
Top Bottom