Mkuu hiyo ni Mahakama mpya inakuja sasa mafisadi wa zamani wataliwaje?Au watashitakiwaje?Safi sana. Sasa mafisadi papa yaanze kuliwa taratibu.
Lini na unasemaje mkuu?Serikali yawasilisha bungeni muswada wa kuanzishwa kitengo cha Mahakama Kuu kitakachoshughulikia kesi za rushwa kubwa na wahujumu uchumi.
Ndugu soma sheria kuhusu Jinai. Jina haina mwisho hata ukiwa umekufa unaweza shitakiwa.Mkuu hiyo ni Mahakama mpya inakuja sasa mafisadi wa zamani wataliwaje?Au watashitakiwaje?
Ndio maana wataalam wakasimamishwa!!Muswada wa Mahakama ya Mafisadi wawasilishwa bungeni kwaajili ya kushughulikia rushwa kubwa, wahujumu uchumi
Tusubiri mkuu hakuna shida si kuna ushahidi sasa why mpaka tusubiri Mahakama mpya?Itakuwa na majaji wapya?Waendesha mashtaka wapya?na vipi vitakuwa vipya?Ndugu soma sheria kuhusu Jinai. Jina haina mwisho hata ukiwa umekufa unaweza shitakiwa.
Poa hilo pendekezo la kusubiri naona ndio la busara.Tusubiri mkuu hakuna shida si kuna ushahidi sasa why mpaka tusubiri Mahakama mpya?Itakuwa na majaji wapya?Waendesha mashtaka wapya?na vipi vitakuwa vipya?
Mahakama zenu akinanani? naomba ufafanue.Naomba kusahihishwa kama nimekosea.....Mahakama zetu ni:
Mahakama ya Mwanzo
Mahakama ya Wilaya
Mahakama ya hakimu mkazi
Mahakama kuu
Mahakama ya Biashara
Mahakama ya kazi
Mahakama ya rufaa
Mahakama ya kadhi
Mahakama ya wahujumu uchumi
Mahakama ya mafisadi
Mahakama ya jiji
Na tumeridhia Mahakama ya E.Africa
Mahakama ya Africa
Mahakama ya ICC.
yakiliwa yatakusaidia kupanga foleni ya kupata sukari kilo kwa shilingi elfu tano?Safi sana. Sasa mafisadi papa yaanze kuliwa taratibu.
Hii sio sheria mpya, ni mahakama mpyaMkuu hiyo ni Mahakama mpya inakuja sasa mafisadi wa zamani wataliwaje?Au watashitakiwaje?