Mahakama ya Ufisadi, majalada 300 yatua kwa DPP. Je, la Lowassa lipo?

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Kutoka magazetini.

Majalada zaidi ya 300 ya kesi mbalimbali za ufisadi yametua kwenye ofisi ya DPP.

Matumaini yangu moja ya jalada litakuwa linahusu sakata la Richmond linalomhusisha Lowassa.

Kama kati ya majalada hayo 300 hakutakuwa na kesi inayomhusu Lowassa, basi wapiga filimbi wa Lumumba na mnyamaze kimya milele.

Je, kati ya hayo majalada unategemea kesi gani ya ufisadi mkubwa isikosekane.
 
Anawatia hasira balaa, wamechanganyikiwa, wanatukana hovyo na kila siku lazima walete thread za kufikirika
 
Kutoka magazetini.

Majalada zaidi ya 300 ya kesi mbalimbali za ufisadi yametua kwenye ofisi ya DPP.

Matumaini yangu moja ya jalada litakuwa linahusu sakata la Richmond linalomhusisha Lowassa.

Kama kati ya majalada hayo 300 hakutakuwa na kesi inayomhusu Lowassa, basi wapiga filimbi wa Lumumba na mnyamaze kimya milele.

Na jalada la ile boat ya bwagamoyo tunategemea iwepo
 
Ahadi ya hii mahakama ilitolewa kwa kumlenga na kumtisha mtu fulani..nasubiri kuona akipandishwa kizimbani..
 
Ahadi ya hii mahakama ilitolewa kwa kumlenga na kumtisha mtu fulani..nasubiri kuona akipandishwa kizimbani..

Hakuna mwenye uwezo huo, wakifikia hatua hiyo nadhan mzee wa msoga atahitajika kuwa mmoja wa mashahidi
 
Back
Top Bottom