Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,744
Crimes against humanity, as defined by the Rome Statute of the International Criminal Court Explanatory Memorandum,[SUP][citation needed][/SUP] "are particularly odious offenses in that they constitute a serious attack on human dignity or grave humiliation or a degradation of one or more human beings.hahaha, Radhia sweet una kazi kweli leo, watu hawaelewi kabisa unachoongea. mzee, unasema Tanzania si sehemu ya international?...hahaha, hajamaanisha hivyo aisee, nilivyofahamu Radhia alikuwa anamaanisha kuwa, yapo makosa yanayodondokea kwenye international criminal law zile zinazopelekwa the hague, hayo ni manne tu na si mengine. nayo ni, crimes against humanity, genocide, war crime and crime of aggression. haya tu ndo yanashughulikiwa na icc. jua kuwa, kuna makosa mengine ya trans-national organised crimes kama vile vitendo vya piracy kwenye bahari ya hindi, mambo ya umafia marekani na italy (makundi ya mafias kama unawajua), ugaidi wa al quaeda etc, hizi ni international crimes as a matter of fact kwasababu zinatendeka kwenye nchi zaidi ya moja, lakini icc kwasababu ilikuwa selective ka makosa baadhi tu, wameachia makosa haya kuendeshwa na local courts.
sijui sijaelewa hicho kizungu!