Mkuu Ritz,
Si Dr. Slaa itabidi aunganishwe kwenye mashtaka? ICC haiangalii walioua hata wachochezi wa upande wa pili wanaunganishwa. Kauli ya liwalo na liwe ni kubwa sana na ndiyo iliyo wahamasisha makamanda kutotii amri halali ya polisi na aliyetoa gharama za kusafirisha makamanda kutoka Iringa na Mbeya na pia anahusika.
Chama
Gongo la mboto DSM
- the prosecutor's own move, yaani pale prosecutor( Fatou au zamani alikuwa ocampo) anapoamua yeye mwenyewe kuanzisha investigation.
Prosecutor's own move can be initiated by request from any party, individuals or organisation with evidence that a crime have been committed. Petition therefore is one way of accumulating evidence that a crime had been committed in Tanzania and is a State that is involved which makes it impossible to prosecute internally.
Do not be scared by the guilty party. They are afraid of the consequences of this brave move. Even if we do not succeed in bringing the perpetrators to justice, the world will be alerted to the Tanzanian case that is moving towards Syria trend.
- Those with evidence prepare yourselves
- Lawyers prepare a case
- Please sign a petition
Watu wasifanye wanajua kuchambua sheria,tunataka mahakama ya icc ipate notes of infomation kwani mbegu moja huzaa mazao,kama jaji wetu wa mahakama kuu hapa bongo ni mteule wa mkuu wa kaya anaona uonevu na hasemi kitu,ni heri icc japo itoe warning kwa wavunjaji wa haki za binadamu wa TZ.POLISI WAMEUA RAIA WASIO NA HATIA ZAIDI YA 70 HAPA NCHINI KWA UJUMLA WAO,JE TUNATAKA WAFE WANGAPI ILI TUITE NI CRIME?TANZANIA POLICE ARE 'PEOPLE OF MABWE PANDE INVESTIGATING CHADEMA IN TANZANIA[POMICT]NOT PEOPLE OF LANCUSHIRE INVESTIGATING CRIMINALS IN ENGLAND[POLICE]'.KWA HIYO WANABODI TUENEZE JINA LA HAWA JAMAA WAITWE 'POMICT' NA SI 'POLICE'.MPAKA 2015 TUTAKAPO UNDA UPYA CHOMBO CHA USALAMA WA RAIA,JE MNAONAJE?
Gotcha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!You are scared, aren't you? You have not said what is wrong with the english! teh teh teh teh. Mmeshikwa pabaya jiandaeni.Kajifunze kiingereza wewe. Watu wengine bwana.
Watu wangapi?
Chama
Gongo la mboto DSM
In every Rule,Mkuu Mwana wa Mungu umetoa maelezo ya kutosha. Kuna vilaza humu ndani huwa wanakurupuka tu na kufungua thread ambazo hata haziendani na uhalisia. Watu wengine bwana.
Radhia whether ni ICC au popote pale issue hapa ni kwamba maisha ya watu yamepotea and something should be done kuondokana na kile Mwanakijiji anaita ''trigger happy policemen''. Period!
heshima kwako mkuu,....kwa kifupi ni kwamba, hayo niliyoongea ndiyo yaliyopo kwenye Rome Statute of International criminal court, yaani ICC statute. hayo uliyoongea wewe ni siasa ambazo hata hawana muda wa kupoteza kusikiliza. kwa kifupi, hakuna hata tendo moja linaloweza kuamount kifo cha Daudi, mateso ya ulimboka au yale ya arusha kupokelewa na ICC.Prosecutor's own move can be initiated by request from any party, individuals or organisation with evidence that a crime have been committed. Petition therefore is one way of accumulating evidence that a crime had been committed in Tanzania and is a State that is involved which makes it impossible to prosecute internally.
Do not be scared by the guilty party. They are afraid of the consequences of this brave move. Even if we do not succeed in bringing the perpetrators to justice, the world will be alerted to the Tanzanian case that is moving towards Syria trend.
- Those with evidence prepare yourselves
- Lawyers prepare a case
- Please sign a petition
Naomba IT watutengenezee "voting forum kama hii... https://secure.avaaz.org/en/save_the_maasai_a/?afASrdb" ili watanzania wote wapenda amani duniani tupige kura kuhimiza kesi hii kufunguliwa ili JK na makamanda wake wote waweze kukutana na mkono wa sheria.
Mod usichanganye thread hii ni muhimu sana ikae peke yake
Quality
wewe unayejiita radhia sweet problem yako unajifanya kuwa you are very intelligent ndio maana huthamini maisha! sisi kwetu hata mimba ikitolewa ni mauaji na muuaji anatakiwa kufikishwa kwenye mahakama iwe the hague iwe kisutu but they must face charges! kwa nn huheshimu na kuthamini maisha? be sensible and stop abusing human life! you sound very stupid!!Angeuawa ndugu yako, mzazi, wako au mtoto wako how would you feel pale ambapo ungesikia mtu mpuuzi kama wewe akisema kifo cha mtu mmoja au wawili sio kitu sana??Wewe hujaambiwa kuwa kifo cha mtu mmoja hakina uzito. Ulichoambiwa ni kuwa mahakama ya ICC haideal na kesi za mauaji ya watu wawili au watatu au wanne. Most of the time inatatua kesi za mauaji ya idadi kubwa ya watu ambayo yamekuwa triggered na issue za kisiasa au chuki za kikabila au kidini. Sasa unatoa mfano wa ooh mzungu kashtuka kusikia watu tisa oooh Israel walienda kuokoa mtu mmoja, halafu umeshindwa kutoa mfano wa kesi ya mauaji ya watu 9 iliyotatuliwa na ICC. Watu wengine bwana.
Aisee, siongei kwamba nimependa yaliyotokea, hapana, naongea vile sheria inavyosema. Angalia kesi zote zilizofanyika na ICC, ICTR (Rwanda Arusha), ICTY (former Yugoslavia), ile special Tribunal for Lebanon and Special tribunal for Siera Leon...utakuta kwenye makosa yote ya crimes against humanity watu wanaotakiwa kuwa wameuawa ni wengi sio wachache, wakiuawa wachache icc imewaachia nchi husika kutumia local courts.''....substantial number of people''. How substantial is this substantial u talk about? Kwa watu weupe just an indvl inakuwa shida sasa sisi tusubiri mauaji ya kimbari?. I remember Israel went to war with Palestine just to rescue a single soldier. More than 30 people but it doesnt click in our heads? I believe ingekuwa kwa wenzetu wanaojua thamani ya maisha ya binadamu,this could be an issue! One of our former presidents being interviewed on Hard Talk BBC programme alisema mauaji ''...the number of the dead is not that high, just 9 people'' na watu wote duniani walishangaa. ''..just 9 people of lives lost haikumshtua huyu bwana mkubwa. Sasa ndio haya mambo ya kusema ''..a substantial number..''. Asee, au ndio kama signature ya mkuu mmoja hapa inasema 'miafrika ndivyo tulivyo' hatujali maisha yetu.
jamani matusi tena ya nini mtu alikuwa hajui mmemuelewesha tusi eti kilaza la nini tena wewe ni mtalaamu wa sheria yeye wa kitu kingine sio wote humu tunajua sheria mkuu kila mtu na fani yake amefungua alikuwa hajui yeye alidhani hivyo ndivyo inavyo fanyika mkuu.Mkuu Mwana wa Mungu umetoa maelezo ya kutosha. Kuna vilaza humu ndani huwa wanakurupuka tu na kufungua thread ambazo hata haziendani na uhalisia. Watu wengine bwana.
Unataka nani apeleke kule the hague mzee wakati wewe ukienda pale hautapokelewa na hakuna anayekujua?....pale wanaojulikana ni state parties (nchi ambazo ni signatory kwenye mkataba wa Roma tu)....na unataka nani akashitakiwe pale? kikwete? mwema? au mkuu wa polisi wa arusha na iringa? etc?...hayo yote yapo chini ya uwezo wetu.Hii Kesi ya kuwapeleka Mahakama za Kimataifa, The Hague imecheleweshwa saaana! Ilitakiwa ipelekwe toka miaka karibia minne iliyopita. Jeshi la Polisi chini ya Kikwete limefanya mauaji ya raia kwa kubambikiza na kutumia siasa na utekaji nyara, na hakuna kilichofanyika kuonyesha uhai huu wa watanzania ulivyodhulumiwa na kupotezwa;
Hay na mengineyo mengi, taifa linahitaji kuponywa majeraha haya, na suluhisho ni KESI IPELEKWE ICC, The Hague tu! Finish!
- Mauaji ya Mabwe-pande (Kamanda Zombe na genge lake)
- Mauaji ya Wananchi-Mbeya
- Mauaji ktk machimbo ya Tanzanite
- Mauaji ya Arusha
- Mauaji ya Songea
- Kutekwa kwa wanaharakati na pia Dr Ulimboka
- Mauaji ya Morogoro
- Mauaji ya Iringa
- NA MENGINEYO.. WANA-JF nafasi chini ya kuongezea
- ----
- ----
- -----
- ----
mkuu, icc iliogopa kupokea kila kosa la mauaji au mateso, iliona itapokea mengi mno mamia ya mamilioni kwasababu hata hivi tunavyoongea kuna mauaji yanafanyika maeneo tofauti duniani. sio kwamba tunajifanya tunajua sheria, ni kwamba sisi ni wanasheria tumesoma sheria, tumesoma international criminal law and prosecutions, na tumeshafanya hapo icc internship (kwa upande wangu)...hivyo naongea ninachokijua, nilichofundishwa darasani, na nilichokiona kinafanyika. ukitaka madesa naweza kukutafutia....mauaji hayo yapo chini ya uwezo wa polisi na selikali imeyalaani kitu kinachoonyesha kuwa serikali ina moyo wa kuyachukulia hatua na ndicho icc inachohitaji kupunguziwa mzigo ndo maana hawapokei kila kosa hata ya watu wachache tu....tunaposema watu wachache tu usianze kukusanya kwamba mwaka ule walifanya hivi, juzi hivi, leo hivi...hahaha, hapana, ni mauaji ya mara moja au ya mfululizo kwenye tukio fulani......widespread and/or systematic attach against civilian population. utasema kuwa ile ya daudi walikuwa wanashambulia civilian population au individual person? mahakamani huwa hatuendi na siasa, ni point za sheria tu. mbona hawakutawanya mabom kwa watu wengine walimtageti yeye tu, hiyo ni murder tu ya kawaida ambayo tutatumia penal code za kwetu hapa bongo kuwashitaki.Watu wasifanye wanajua kuchambua sheria,tunataka mahakama ya icc ipate notes of infomation kwani mbegu moja huzaa mazao,kama jaji wetu wa mahakama kuu hapa bongo ni mteule wa mkuu wa kaya anaona uonevu na hasemi kitu,ni heri icc japo itoe warning kwa wavunjaji wa haki za binadamu wa TZ.POLISI WAMEUA RAIA WASIO NA HATIA ZAIDI YA 70 HAPA NCHINI KWA UJUMLA WAO,JE TUNATAKA WAFE WANGAPI ILI TUITE NI CRIME?TANZANIA POLICE ARE 'PEOPLE OF MABWE PANDE INVESTIGATING CHADEMA IN TANZANIA[POMICT]NOT PEOPLE OF LANCUSHIRE INVESTIGATING CRIMINALS IN ENGLAND[POLICE]'.KWA HIYO WANABODI TUENEZE JINA LA HAWA JAMAA WAITWE 'POMICT' NA SI 'POLICE'.MPAKA 2015 TUTAKAPO UNDA UPYA CHOMBO CHA USALAMA WA RAIA,JE MNAONAJE?
unajua kuna tofauti sana ya haya masomo tunayosomea, ukikutana na mtu wa sociology na yule wa sheria watakavyoargue ni tofauti kabisa, au yule wa political science au engineering wakijaribu kujadili suala la kisheria, utaona wazi kuwa huwezi kuwa unaelewa kitu kama hujakisomea. hapa jamaa anamlaumu Radhia sweet utafikiri Radhia sweet anapenda mauaji kumbe yeye alikuwa anaongea jinsi sheria ilivyo...hapa mzee hatushabikii mauaji wala sio kwamba hatuna huruma na waliouawa, tunaongea nini sheria inasema ili watu wasijisumbue,....mbona nchi yetu itaaibika kama vile hapa hamna wanasheria wa kimataifa waliowashauri watu watakaoenda kule the hague kufungua kesi...hahaha.wewe unayejiita radhia sweet problem yako unajifanya kuwa you are very intelligent ndio maana huthamini maisha! sisi kwetu hata mimba ikitolewa ni mauaji na muuaji anatakiwa kufikishwa kwenye mahakama iwe the hague iwe kisutu but they must face charges! kwa nn huheshimu na kuthamini maisha? be sensible and stop abusing human life! you sound very stupid!!Angeuawa ndugu yako, mzazi, wako au mtoto wako how would you feel pale ambapo ungesikia mtu mpuuzi kama wewe akisema kifo cha mtu mmoja au wawili sio kitu sana??