Mahakama ya Rufañi Yawafutia Kifungo Cha Miaka 7 Jela Na Kuwafunga Miaka 20 Jela na Kulipa Fidia ya Bilioni Moja

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Wakuu Jovina Damian na Gui Kai wanashitakiwa Na Jamhuri Katika Mahakama ya Kisutu Kwa KOSA La Kuomba Usajili wa Mashine ya EFD kwa Udanganyifu na Kutumia Mashine ya EFD Kinyume na Matakwa ya Mamlaka ya Mapato (TRA) na Kukwepa Kulipa Kodi kwa Kufanya Udanganyifu, n.k
.
Sasa Na Mahakama ya Chini Kule Kisutu, Walihukumiwa Miaka 7 Jela, na Kwamba Wailipe Fidia Serikali Sh. Bilioni 1.7.
.
WAkakata Rufaa Mahakama Kuu mbele ya Jaji De'Mello, Jaji Demello akabariki kifungo cha Mahakama ya Kisutu.
.
Hawa Wazalendo Wakakata Rufaa Tena Mahakama ya Rufani.
.
Sasa Mahakama ya Rufani Imetengua Hukumu ya Miaka 7 Jela na Kuwapa Miaka 20 Jela.
.
Ila Fidia Imebaki Vilevile.
.
Ujue the minimum
sentence Kwa Makosa Yao under the provision of section 60(2) ya Sheria ya EOCCA is twenty years.
.
Sasa Majaji wa3 wa CAT Wanasema Lower Courts walikosea kuwahukumu Adhabu ya 7 yrs Imprisonment.
.
So Majaji wame-invoke their powers under section 4 (2) of the AJA.
.
So wame-quash the sentence Wanasema We substitute in lieu therefor, a sentence of twenty years imprisonment under county 6.
 
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo kifungo kime tripple duh
 
Huwa hilo linafanyika kimyakimya
Sasa hakuna sababu ya kumfunga mtu.
Itangazwe hadharani, fulani aliiba, amekiri au kakutwa na hatia hivyo mali zake zifuatazo zimekuwa chini ya Treasury....

Hii ingesaidia watu kutorundikana gerezani

Ingesaidia wizi na ufisadi kupungua.

Baada ya hayo huyu mtu apigwe fimbo hadharani

Apelekwe kwenye kazi ngumu
 
Miaka 7 ...kakutana na miaka 20

Hawaku calculate risk vizuri hao

Ova
 
Dah! Kwa kifungo hicho, sidhani hao watuhumiwa kama watakuwa na hamu tena na wakili wao.
wateja wengine nao wanajifanya viherehere.
.
Unakuta wakili unajaribu kumwelekeza naye anajua kukuzidi.
.
Ukimwambia kuwa sioni kama kuna uwezekana wa kushinda tukikata rufaa.
.
Wanaanza kudisi kuwa u are incompetent. Sasa dawa Yao ndiyo hii sasa.
.
CAT hawakuwa na Wakili walikuwa wenyewe.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
wateja wengine nao wanajifanya viherehere.
.
Unakuta wakili unajaribu kumwelekeza naye anajua kukuzidi.
.
Ukimwambia kuwa sioni kama kuna uwezekana wa kushinda tukikata rufaa.
.
Wanaanza kudisi kuwa u are incompetent. Sasa dawa Yao ndiyo hii sasa.
.
CAT hawakuwa na Wakili walikuwa wenyewe.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Na wataogopa kukata rufaa maana wasije wakapigwa 40

Wakati hiyo 7 wangekaa 4 wangetoka

Ova
 
  • Thanks
Reactions: Eco
Huko kutumia EFD ndivyo sivyo ndio kufanya nini ?

Na wale walamba asali kila siku wanaopiga nchi Kesi zao zitafunguliwa lini ?, let alone hata kufungwa na kupigwa faini....

Katika Mikataba yote nchi hii iliyoshaingia sidhani hata kama kuna mitatu mizuri (Na kiasi walichopotezea Taifa ni astronomical)
 
Kuna ule usemi unasema mwenye nacho huongezewa.

Wameongezewa buana.
 
wateja wengine nao wanajifanya viherehere.
.
Unakuta wakili unajaribu kumwelekeza naye anajua kukuzidi.
.
Ukimwambia kuwa sioni kama kuna uwezekana wa kushinda tukikata rufaa.
.
Wanaanza kudisi kuwa u are incompetent. Sasa dawa Yao ndiyo hii sasa.
.
CAT hawakuwa na Wakili walikuwa wenyewe.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huwa inatokea sana kukutana na mteja kichomi hasa ukikuta anakabush lawyer pembeni kanamdanganya lazima alazimishe hata visivyowezekana.
 
hapo wapambane wlipe hiyo B.1.7.
hiyo mvua ya miaka 20 sio mchezo!

jambo la kujifunza kwa wengine lazima tuheshimu sheria za nchi, tuache janja janja.
 
Vifungo kama hivi havina maana.
Huyu anatakiwa mali zake zitaifishwe zote

Aachwe afanye kazi
Unawaza kimatabaka!
Ningelikuelewa kama ungelisema: "jela zote zifungwe, raia wafungwa waachiwe wakafanye kazi".
 
Back
Top Bottom