Mahakama ya rufaa Kenya yasema SGR ya Kenya ilijengwa kihuni bila kufuata sheria za Kenya

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
MY TAKE: Kama mradi mkubwa kuliko yote katika historia ya Kenya umetekekezwa bila kufuata sheria za nchi, je hiyo miradi ya kiwango cha kati na midogo itakuaje?

======

Kenyan Court Declares USD 3.2 Billion Railway Contract with China Illegal

Nairobi, June 25: A Kenyan appellate court has ruled that the USD 3.2 billion railway contract between Kenya and the China Road and Bridge Corporation (CRBC) is illegal.

The Court of Appeal, which handles cases arising from the High Court's decisions in Kenya, observed that state-run Kenya Railways had failed to comply with and violated the country's law "in the procurement" of the Standard Gauge Railway (SGR), a multibillion-dollar Chinese-funded project under the Belt and Road Initiative (BRI), South China Morning Post (SCMP) reported.
lg.php

Kenyan activist Okiya Omtatah and the Law Society of Kenya, an association of practising advocates, filed the suit in 2014 in a bid to halt the construction of SGR. They said the railway was a public project that should have been subject to a fair, competitive and transparent procurement process

The plaintiffs said that the agreement was single-sourced without being put up for tender, despite the burden of loan repayments on Kenyan taxpayers.

The High Court had dismissed the case and ordered that the documents used by the plaintiffs to support their case, including the agreement and other negotiation papers, which the government described as classified, was illegally obtained and were to be expunged from court records, according to SCMP.

Upset with the High Court's decision, the plaintiffs made a fresh appeal at the appellate court.

Interestingly, the Court of Appeal's decision in favour of the plaintiffs comes even after a large section of the project has been completed and is operational since 2017. While the next course of action is unclear, the Kenyan government or CRBC could challenge the ruling of the appeal court or seek its interpretation in the Supreme Court.

Both CRBC and Kenya Railways defended the agreement, saying that the Kenyan government had negotiated a financing deal with Exim Bank of China for two loans, each amounting to USD 1.6 billion, to support the SGR project.

In 2014, the CRBC was awarded the contract to build the railway line from Mombasa port to Nairobi. Its parent firm, the China Communications Construction Company, later stepped in to construct an extension from Nairobi to Naivasha, a town in the Central Rift Valley, for another USD 1.5 billion, SCMP reported.

Both projects have been completed and passenger and cargo trains are operating. In 2017, the Africa Star Railway Operation Company, a subsidiary of CRBC, was awarded the contract to manage operations of both passenger and cargo trains on the SGR.

Kenya had planned to extend the rail line to Malaba, situated on the country's western border with Uganda. However, Exim Bank of China, which financed the first two phases, asked the Kenyan government to redo a feasibility study for the Malaba extension for commercial viability before funds were released.

With Kenya facing the heat to pay its debt in the wake of Covid-19 pandemic that has put the African country's economy in peril, the government has been forcing importers to use the train. However, truckers and importers have resisted, asserting that it is more expensive to use railways instead of trucks.

The SGR had last year earned a revenue of USD 136 million from cargo and passenger services. Earlier this month, the Kenyan Parliament said that Kenya Railways had not paid USD 380 million in management fees to Africa Star Railway. The Chinese Embassy in Nairobi confirmed that Africa Star Railway had not been paid part of the fees but "appreciated the efforts that the Kenya government has made to clear the pending payments".

Source: Kenyan Court Declares USD 3.2 Billion Railway Contract with China Illegal | LatestLY
 
Big big accusations from the judiciary.
Ila litawekwa chini ya carpet, hohehahe wa kikenya watabeba mzigo.
Alafu vijamaa huku ni daily makelele.
 
Wanatumia pesa nyingi kwenye budget ya elimu alafu wanatumia Tumbo kufikiri wakihitumu
Education budget ya Kenya inakunyima usingizi? Matokeo ya kuifund education sector vizuri ndo haya judiciary inakua independent.
 
Wanatumia pesa nyingi kwenye budget ya elimu alafu wanatumia Tumbo kufikiri wakihitumu
Kenya hawana akili sijawaji kuona watu wa hovyo kama hawa katika maisha yangu, hata sijui vichwa vyao vinafikiriaje. Dr. David Ndii kila siku anawaambia vitu vya maana sana, hawataki kumsikiliza badala yake wanasema anamchukia Uhuru Kenyatta.
 
Education budget ya Kenya inakunyima usingizi? Matokeo ya kuifund education sector vizuri ndo haya judiciary inakua independent
Judiciary inakua independent lakini Serikali inazidi kuwa na akili mbovu katika kuongoza nchi sio? Mradi mkubwa kama huo hamfuati sheria za nchi, hiyo ndio matokeo ya bajeti kubwa ya Elimu?
 
Kenya hawana akili sijawaji kuona watu wa hovyo kama hawa katika maisha yangu, hata sijui vichwa vyao vinafikiriaje. Dr. David Ndii kila siku anawaambia vitu vya maana sana, hawataki kumsikiliza badala yake wanasema anamchukia Uhuru Kenyatta.
Zitto anaishi kuwaambia vitu vya maana ila sasa ako rumande. Naona nyinyi mna akili sana
 
Judiciary inakua independent lakini Serikali inazidi kuwa na akili mbovu katika kuongoza nchi sio?. Mradi mkubwa kama huo hamfuati sheria za nchi, hiyo ndio matokeo ya bajeti kubwa ya Elimu?
Serikali zote duniani hupinda sheria mara moja moja ila nchi zilizo sawa zina systems za kukosoa kinyume na nyinyi mpo tu
 
Zitto anaishi kuwaambia vitu vya maana ila sasa ako rumande. Naona nyinyi mna akili sana
Zitto zaidi ya kuwa mwanasiasa hana SIFA zozote za kitaaluma hasa katika Eneo la uchumi wa nchi. Dr. Ndii ni mchumi aliyebobea anatambulika duniani kote, alishafanya kazi katika taasisi zote za kidunia zinazojihusisha na uchumi wa dunia, Zitto hajawahi kufanya kazi yoyote zaidi ya Ubunge.
 
Serikali zote duniani hupinda sheria mara moja moja ila nchi zilizo sawa zina systems za kukosoa kinyume na nyinyi mpo tu
Hakuna Serikali yoyote inayipindisha sheria au kutikufuata sheria katika mradi mkubwa kuliko yote katika nchi yake, mradi kama huu unahusisha rais wa nchi, unahusisha bunge la nchi, hii maana yake hata rais amehusika katika kuvunja katiba ya nchi kwasababu alijua kila kitu, hata wanasiasa na wanaharakati walivyokua wanaoiga kelele hakutaka kywasikiliza, hili linatisha kumuondoa rais madarakani.
 
Zitto zaidi ya kuwa mwanasiasa hana SIFA zozote za kitaaluma hasa katika Eneo la uchumi wa nchi. Dr.Ndii ni mchumi aliyebobea anatambulika duniani kote, alishafanya kazi katika taasisi zote za kidunia zinazojihusisha na uchumi wa dunia, Zitto hajawahi kufanya kazi yoyote zaidi ya Ubunge.
We boya issue si utaalamu.....wataalamu wa mazingira Tanzania na nje ya Tanzania wameukosoa ule mradi wenu wa staigler mara si moja ila serikali yenu imeamua kutumia kichwa...unawaita wakenya wajinga ila we mwenyewe IQ yako inakaa ya mtoto wa chekechea
 
Nilisubiria mikenya ilete hio story hapa JF kumbe wanamaagizo ya kufunika uozo wao kwa tovuti za watanzania.
Hivi sasa Huu mtambo wa gogo wa kizamani utaishia wapi? Sasa kama upo illegal(Yaani ni ufisadi tupu) Bado nyie Mizalendo ya linchi la njaa na ukabila mtaendelea kulipa wa China waendeshe na wa jenge?
Mnakwama wapi
 
We boya issue si utaalamu.....wataalamu wa mazingira Tanzania na nje ya Tanzania wameukosoa ule mradi wenu wa staigler mara si moja ila serikali yenu imeamua kutumia kichwa...unawaita wakenya wajinga ila we mwenyewe IQ yako inakaa ya mtoto wa chekechea
Ona mjinga mwingine..Stiglers ilipata hati safi kwa idara ya mazingira Tanzania. Mlitaka JPM asikize wadhungu? Hivi nyie kila siku NGO zina sumbua mradi wa Lamu Coal plant kwa visababu vya mazingira.Lakini Mradi unaendelea
 
Hakuna Serikali yoyote inayipindisha sheria au kutikufuata sheria katika mradi mkubwa kuliko yote katika nchi yake, mradi kama huu unahusisha rais wa nchi, unahusisha bunge la nchi, hii maana yake hata rais amehusika katika kuvunja katiba ya nchi kwasababu alijua kila kitu, hata wanasiasa na wanaharakati walivyokua wanaoiga kelele hakutaka kywasikiliza, hili linatisha kumuondoa rais madarakani.

Teh uhuru mtu noma sana.. huo mradi haujafuata sheria za manunuzi kabisa.. Sasa kama Rais alilazimisha station ijengwe Suswa kwenye shamba lake mbali na watu kabisa ili apate fidia ya ardhi unategemea nini? Nchi imeshamshindi huyo jamaa yani ipo ipo tu sasa auto pilot
 
We boya issue si utaalamu.....wataalamu wa mazingira Tanzania na nje ya Tanzania wameukosoa ule mradi wenu wa staigler mara si moja ila serikali yenu imeamua kutumia kichwa...unawaita wakenya wajinga ila we mwenyewe IQ yako inakaa ya mtoto wa chekechea
Sisi tumekataa kusikiliza hao wataalamu wa nje kwasababu wataalamu wetu wamejiridhisha kwamba ule mradi utakua na manufaa zaidi kuliko hiyo athari ya mazingira wanayosema, sisi tunazalisha umeme ili wananchi waache kukata miti kwa ajili ya kupikia, kumbuka ukataji wa miti kwa ajili ya kutengeneza mkaa ndio unaoharibu mazingira zaidi kuliko kitu chochote.

Ule mto kila mwaka unafurika na kusababisha vifo vya watanzania wengi, ujenzi wa hili bwawa utamaliza kabisa mafuriko na kuokoa maisha ya watanzania. Tutapata umeme ambao ni lazima kwa maendeleo ya nchi.

Tanzania huwa tunajiamulia mambo yetu baada ya kufanya utafiti wa kutosha kwa kutumia wataalamu wetu wazalendo, ninyi wakenya lolote litakalisemwa na wazungu nje ya nchi yenu,nalichukua kama lilivyo, ndio sababu tunawaambia hamna akili ninyi.
 
Yeah kupitia Stiegles Gorge tutafanikiwa kupunguza athari za mafuriko ya mto Rufiji kwa wakazi waliopo maeneo ya Rufiji chini hadi delta ya mto Rufiji.
 
Back
Top Bottom