Mahakama ya majizi na mafisadi ya mgufuri; richmond si swari watupiana mpira edo,tundu &jk

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Hali si swari baada mheshimiwa magufuri kutangaza waziwazi ; kufungua mahakama ya mafisadi haraka iwezekavyo ili wafungwe

na hii ikielekeza moja kwa moja kwa kashfa ya richmond na escrow - ambayo watu waitwao mafisadi wamekwapua pesa za umma;

kutokana na taaruki hiyo watu wameaanza kutupiana mpira

kuhusu richmond;

rais jk kasema muusika anatembea na lissu

lissu kasema ni uzembe wa jk

kubenei - kuna report mbili

slaa- muhusika ni lowasa

mwakyembe na sitta - muhusika ni lowassa

 
Back
Top Bottom