singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Hiyo Mahakama ianze na Kesi hizi Ya kwanza iwe wizara ya Ujenzi zile billion 251 zilizolipwa makandarasi hewa, zile billion 8 zilizonunua kivuko feki cha 1978, Mabehewa feki, kontena za meno ya Tembo, chenji ya Rada, chenji ya bunge la katiba feki, Escrow,Buzwagi, mikataba ya Gesi, madini, nyumba za Serikali kuuzwa kwa watu ambao hawakustahili na zile billion 1.7 zilipopigwa na wajanja kule ccm wakati kampeni ikiendelea.Shida siyo kuwa na mahakama ya mafisidi shida ni kuwatambua mafisadi na kuwa fikisha mahamani na kesi zisiwe za muda mrefu
Mwakyembe ndiye alinunua mabehewa feki hata wale watu wake aliowapeleka bandarini Ndiyo wameitia Nchi hasara.Huyo Mwakyembe sio fisadi?
Muulizeni anamjua Madeni Kipande,
January Makamba kaamua kujipendekeza baada ya Magufuli kuanza dalili ya kumtumbua JIPU na huenda akatolewa Uwaziri na kuwa naibu Waziri kwenye wizara ambayo haina ulaji kabsa.Nikiunganisha dots kwa yale makatuni ya Makamba hapo awali na hii nukuu yake hapo juu, naona kejeli ya wazi kwa Magufuli..!!
Ni lini Makamba ameanza kumkubali Magufuli? Kwamba kafunguliwa zile kamba alizokuwa amefungwa awali au nini kimetokea?
Makamba aache dharau
BACK TANGANYIKA
Shida siyo kuwa na mahakama ya mafisidi shida ni kuwatambua mafisadi na kuwa fikisha mahamani na kesi zisiwe za muda mrefu
Mkuu una maana Mahakama ianzie mwaka 1961 ? ikianzia hapo woote wazee wa zamani watapelekwa Jela maana upigaji haujaanzia awamu za juzi upo siku nyingi, mfano sasa kuna Ufisadi alifanya Mwakyembe lakini kaamua kupindisha kijanja anataka kuwasukumia wa chini yake wafungwe kisha yeye anapeta kisa eti alisaidia ccm kuingia ikulu kwa kazi aliyofanya ya kumrubuni Dr slaa hadi akapokea hongo na kuwadhoofisha ukawa.almost 5~10%,ya watendaji ndani ya serekali na ndani ya bunge ni lazima watatakiwa kujibu tuhuma za ufisadi au kujiusisha na mafisadi kwa namna moja au ingine!!!/
TUNATARAJI MAHAKAMA HII ITAHUKUMU MAFISADI YOTE TOKEA PALE TULIPOPATA UHURU.
mabehewa feki kiwe kipaumbele kikubwa sana maana inaelekea Mwakyembe anataka kunawa zigo awabebeshe wenzakewaanze kwanza na yale mafisadi ya escrow maana mengine yamepewa vyeo pale bungeni...
haaa haa yako mengi mkuu. kuna wale waliouza nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa kwa mahawala zao....Ma
mabehewa feki kiwe kipaumbele kikubwa sana maana inaelekea Mwakyembe anataka kunawa zigo awabebeshe wenzake
Kwanini unaanzia pale tulipopata uhuru? Vipi ufisadi uliofanyika kabla ya hapo?almost 5~10%,ya watendaji ndani ya serekali na ndani ya bunge ni lazima watatakiwa kujibu tuhuma za ufisadi au kujiusisha na mafisadi kwa namna moja au ingine!!!/
TUNATARAJI MAHAKAMA HII ITAHUKUMU MAFISADI YOTE TOKEA PALE TULIPOPATA UHURU.
Ni kweli mkuu..pia wasiache mafisadi wa Richmond..maana mengine yamepewa dhamana ya kugombea urais 2015 na 2020!waanze kwanza na yale mafisadi ya escrow maana mengine yamepewa vyeo pale bungeni...
hiki walikinunua chenye uzoefu na wala sio ufisadi......ufisadi wa kivuko cha kigamboni 1978 !!