VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,800
Mahakama ya mafisadi haina sababu ya kutoanza. Vyote vinavyotakiwa vipo. Mahakama ipo na Majaji wake; sheria (kuu na kanuni) ipo, na watuhumiwa wapo (hasa wa Escrow).
Inapaswa kuanza mara moja. Majizi na mafisadi yakomeshwe. Tumeyachoka! Mahakama ya mafisadi ianze mara moja, hakuna haja wala hoja wa kujivutavuta juu ya hilo.
Tuanze na watuhumiwa wa Escrow na Richmond!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam