Mahakama ya mafisadi, na msemo wa mchimba kisima huingia mwenyewe.

mcoloo

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
918
1,401
Ni nani ambaye hakusikia vita vya ufisadi jinsi vilivyo beba agenda ya ccm kwenye uchaguzi was 2015 ?, Ni nani ambaye hakusia matusi makubwa na ya ajabu na hata kufikia kutoa matusi ya nguoni yakitoka katika vinywa vya wana ccm yakiwalenga watu flani waliowakimbia na kujinga upande wa wapili kuwa hao no mafisadi hats hawastaili kuongoza nchi hii.

Ni nani ambaye hakusikia upinzani ukipiga mbiu kuu wakisema ufisadi ni mfumo ulio ndani ya ccm na imekuwa kama Sera yao kuu.

Kwa waliofuatilia hayo mambo katika kampeni za 2015 nadhani Leo watakuwa na majibu ya kati ya ccm na vyama upinzani ni wapi walikuwa wakiwaambia watanzania ukweli.

Huu ufisadi unaodanywa ccm ni wakutisha sana ndani ya taifa hili small bado lina safari ndefu ya kukuza uchumi wake angalau ufikie uchumi wa kati. Haiingii akililini kuwa waliopinga ufisadi sasa ndiyo wamekuwa mafisadi wakubwa kwa kutumia fedha walipa kodi maskini kwa kununua wapinzani na kurudia chaguzi za kijinga kijinga zinazo endelea kwa sasa.

Nasema ni za kijinga kwa sababu wanazitengeneza wao wenyewe kwa makusudi . Haiwekani watu waliokuwa wakihubiri Tanzania ya viwanda , sasa wamegeuka kuwa Tanzania ya kununua madiwani na wabunge kwa gharama kubwa na zisizo na tija kabisa. Mbona hajasikia wabunge kwa viti maalum kutoka upinzani ukiwaunga mkono ?

Hapa sasa ndipo inapo onekana wazi kuwa ufisadi ni mfumo uliomo ndani ya ccm na huu hautakwisha hadi pale CCM itakapong'oka madarakani. Tumesikia habari za ESCROW, IPTL, EPA, KUUZWA KWA NYUMBA ZA SERIKALI,MANUNUZI YA VICHWA VYA TRENI, n.k yote hayo yamefa yika ndani ya ccm.

Sasa hili LA kutumia fedha za nchi hii kwa matumizi mabaya kama haya ni ufisadi mbaya kuwahi kutokea ndani ya nchi hii. Tunatumia vibaya huku tunaomba msaada kwa nchi kama Uturuki ambayo NATO nidhufli hali kiuchumi. Na kwa hili nidhahiri mchimba kisima ni sharti aingie mwenyewe. Iko Sikh watazirudisha hizi fedha za walipa kodi maskini kwa nchi hii. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Ukitaka kuwapata waafrika wape ahadi za uongo, ukiwa mkweli hawatokuchagua. Anae ongoza kwa ufisadi yule alie nunua ndege bila ruhusa ya bunge.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Yani ufisadi wa awamu hii utakuwa ni ufisadi utakaovunja rekodi barani africa na duniani kote, na kwa mara ya kwanza tutapa fisadi mnafiki zaidi katika historia ya dunia.
 
Jamaa anachota tu kama zake, bora hata wale walikuwa wanafanya miradi fake kuhalarisha ufisadi wao.
 
Mbona hajasikia wabunge kwa viti maalum kutoka upinzani ukiwaunga mkono ?

Point mujarabu kabisa.
Viti maalumu hakuna njia itakayotumika kuwarudisha bungeni.
Wananunuliwa wabunge wa majimbo ambao hata kwa gharama za damu za watu watarudishwa bungeni
 
Huitaji kunipa maelezo mengi wala kutoa povu, jibu ni ndio au hapana kama ndio mfano unaruhusiwa.

Maendeleo hayana vyama!
 
kwanza nikusahihishe kidogo kwenye "facts" zako. Mramba na Yona walifungwa kabla ya mahakama ya mafisadi (ya JPM) kuundwa.

turudi kwenye swali la msingi..... jibu langu ni "HAPANA" kubwa!
Kwahiyo tangu Dr Slaa arudi CCM hakuna fisadi aliyefungwa jela?
 
Halafu ww Mbatizaji naona wameanza kutokukuelewa huko Lumumba, maana post zako umekuwa ukiziweka katika mtindo wa sarcasm siku hizi, scoffing ur Lumumba buddies:):)
 
zipo kesi kibao za wahujumu uchumi.viongozi wa TFF.bandari.simba.NIDA. ESCROW.Bodi ya mikopo.mabenk kibao

ww na chadema mtajua siku el akikamatwa

Uliowataja wote awapo kwenye mahakama ya ufisadi nadhan hata ujui iyo mahakama inadili na nn otea wengine unapenda uchama kwan iyo mahakama iko kwaajili ya chadema mkuu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
ji
zipo kesi kibao za wahujumu uchumi.viongozi wa TFF.bandari.simba.NIDA. ESCROW.Bodi ya mikopo.mabenk kibao

ww na chadema mtajua siku el akikamatwa
bu swali kiazi mviringo ebo!
 
Huitaji kunipa maelezo mengi wala kutoa povu, jibu ni ndio au hapana kama ndio mfano unaruhusiwa.

Maendeleo hayana vyama!
Hukumu ya kesi huzingatia ushahidi. Na mimi nakuuliza,tangu Fatma Karume aanze kusimamia kesi za wateja wake,alishawahi kushinda kesi yoyote? Kama ipo nambie ni kesi gani?
 
Back
Top Bottom