Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
Habari wanaJF,
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia kesi ya kumjeruhi na kumdhalilisha Katibu Tawala wa Dar es Salaam, Bi. Theresia Mmbando iliyokuwa ikiwakabili Wabunge na Makada wa Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA) baada ya kuona hawana kesi ya kujibu.