Mahakama ya Kisutu yakataa ombi la kufutiwa kesi ya kutakatisha fedha Yusufu Ally na Samwel Lema

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Mahakama ya Hakimu mkazi kisutu imetupilia mbali Maombi ya kuondoa shitaka la kutakatisha fedha linalomuhusu Yusufu Ally na mwenzake Samwel Lema ambao wanakabiliwa na mashitaka zaidi ya mia ambayo yaliisababishia serikali hasara ya bilioni 14.

Chanzo: ITV
 
baadaye utasikia tena Mwendesha mashtaka hana tena nia ya kuendelea kuwashtaki,,
na hadhithi yetu itaishia hapo
 
Wawaachie tu kwasabab ni ujinga. Serekal inalipa IPTL kupitia hela zetu SHILLINGI MILLION MIA NNE KWA SIKU 400 MILLION TZS

Waachie huru hao majamaa mara moja hata kama sisi maiti mnatutawala bana, mmezid dharau
 
Back
Top Bottom