Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,026
Jiwe mbona muoga hivyo wafunge USA battalion iliyopo Kenya ikifuate ije ikuchukue.
Hivi mtu ambaye kiinua mgongo chake tu ni million 200+Umeongea point mkuu mpaka najihisi kudaiwa, hao wakina mama walioko jela sijawahi kuwawazia yaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanafilisiwa ili wakose jinsi ya kuendesha kampeni za uchaguzi. Makosa gani hayo yanayogharimu kiasi chote hiki? Na pesa zinakwenda kwa nani?Hakimu Mkazi wa mahakama ya Kisutu. Thomas Simba ametoa hukumu kwa John Mnyika, Salim Mwalimu ,Easter Matiko na V.Mashinji kila mmoja kulipa faini ya shilingi Milioni 30. Heche , Msigwa,Mdee na Bulaya Milioni 40 huku Freeman Mbowe akitakiwa kulipa shilingi milioni 70.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na mazingira. Ila sheria inaruhusuTanzania hiyo ya vyote kwa pamoja hawaitumiagi.
Unaweza kufungwa na kulipa fidia siyo faini...... Pascal Mayalla saidia hapa!
Chadema fanyeni organization tupate namba au account ya benki tuwachangie
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunajua ana mkono kwenye hiyo hukumu!Kwani na Yeye ni sehemu ya Mahakimu waliopo hapo Mahakamani Kisutu Mdau?
Msituni ndiyo dawa!Nini kifanyike sasa on your opinion wananchi wafanye maamuzi magumu???
pumbavu mkubwa unayerukia watu kwa mbele
huoni nimemjibu nani niliyemQuote
ukijibu post angalia imetokea wapi? wote kwenye picha wametajwa na muuliza swali
chunga kichwa yako km unalipwa hapa sema
Kama zipi?kuna njia za kudai haki siyo kipumbavu namnahiyo ndo watajuta sasa
Aliyesabisha mauaji ni polisi na mkurugenzi hilo hata Mungu anajua hata wakiletwa wachunguzi wa kimataifa jibu litakuwa hilo.Sema tu hakuna hakimu aliye huruMashtaka 12 kati ya 13 waliyofunguliwa Mbowe na wenzake yamethibitshwa na mahakama kuwa ni ya kweli. Shtaka moja tu la kula njama ndilo lililoondolewa.
Kwa maana hiyo Mbowe na wenzake walisababisha mauaji ingawa halikuwa shtaka la msingi hivyo halitajadiliwa na mahakama hiyo!
Hakimu Simba amesema washtakiwa hao wanashtahili adhabu kali kutokana na makosa waliyotenda. Hii ni baada ya Peter Kibatala kuomba walipe faini badala ya kufungwa jela.