Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Kutiwa hatian sio kufungwa ...lazima wataambia kuhusu faini wewe unafikil dk mashinji naye afungwe kitu kama hicho akipo
Kulipa faini ndo kifungo tu ingawa inakupa option ya kuchagua wewe mfungwa. Kwa mfano ukihukumiwa kwenda jela miaka 2 au kulipa faini laki 5 hapo kifungo ni miaka 2 ambayo inakufanya upoteze sifa ya kuchaguliwa uongozi. Kumbuka hawa ni wanasiasa!
 
Back
Top Bottom