Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Kesi za kubambikiza aliyeua yupo salama kabisa,mbele ya macho ya binadamu walobambikiza kesi wanafaraja lakini ktk hali ya kweli na kiimani watapata majuto na nafsi kutokuwa na amani.mbegu ya mabadiliko itaendelea kumea.
Muuaji ni nani mkuu?
 
Mungu asimamie haki itendeke!

Wakati huu wa Kwaresma tunajikumbusha mengi kuhusu Wanasheria na yule Yuda aliyesaliti PIA Petro aliyekana!
Aliyezini na mwanamke umemwacha umemleta mwanamke tu alafu unamuuliza Yesu tumemkuta akizini na sheria ya musa inatuambia tumpige mawe hadi kufa.mwanaume aliyezini yupo wapi?. Walichokifanya hawa hakuna tofauti na nyinyi. Unataja kuuwa na ujamleta muuwaji Mahakamani. Watenda HAKI WOTE SWALI LETU NI MOJA TU ALIYEUWA YUPO WAPI?. Tunataja MUNGU uku tunamlinda muuwaji. Pole aqwilina rip hukumu ya aliyekuuwa ni leo ila aliyekupiga risasi na kukuuwa wanamlinda asiguswe eti ahusiki. Damu yako ilie mbele za Mungu idai haki ya uhai wako katika mikono ya aliyekuuwa.
 
Wanaoenda kusomewa hukumu ni wahanga waukatili kama Akwilina (R.I.P).
Familia ya marehemu sijui wanajisikiaje kuona aliyemdhulumu uhai binti yao si miongoni mwa watakao hukumiwa! Walioagiza matumizi ya risasi ndio wasimamizi wa hukumu!!!

Wakati mwengine Serikali inajidhihilisha hadharani kwamba ndiye mvunjifu wa haki na katiba hapa inchini

Kifupi serikali inajidhalilisha mchana kweupee
 
Back
Top Bottom