Mahakama ya Kanda ya Dar Kesho itaendelea kusikiliza rufaa ya maombi ya Mhe. Mbowe na Mhe. Ester Matiko

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam kesho itaendelea kusikiliza rufaa ya maombi ya dhamana ya Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Taifa na Ester Matiko Mbunge Tarime mjini (CDM). Mbele ya Jaji Sam Rumanyika

mahakama.jpg
 
MIMI NADHANI MZEE EDDO ATAENDA KUWAOMBEA MSAMAHA KWA MKUU SO VERY SOON WATATOKA LET US WAIT FOR IT.
 
HAWA HAKUNA HAJA YA KUWAPA DHAMANA AMBAYO WALIKUWA NAYO WAKAICHEZEA DHARAU SANA HIYOOOO
 
Huyu nae kishaanza kwa kupenda sifa za bure, ushindi watapewa wa mezani ila yeye atacapitalise ionekane gwiji sijui nn, muda wote alikuwa kimya mwenyekiti anateseka, sasa hivi kimeanza maneno tena. Mbwembwe zenu siku zote ndo zinawacostigi
 
Wabongo kwa kujishaua na kupenda sifa.....Ndo maana hatuendelei..."eti msomi mwenzangu". Usomi hauonekani kwa kujitangaza

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ushauri wenyewe ni kuingizana chaka tu, as bail pending appeal huombwa pale mtu tayari anakuwa kapatikana na hatia ya kosa lake na yupo katika mchakato wa kukata rufani, hupeleka maombi ya dhamana mpaka pale rufani itakaposikilizwa.

Situation ya mbowe ni tofauti, kinachobishaniwa ni dhamana yenyewe, kwamba dhamana ilikataliwa baada ya wahusika kuruka masharti ya dhamana, wakakata rufani mahakama kuu kuomba uamuzi wa kuwafutia dhamana kuondolewa, hivyo huwezi peleka maombi mengine tena ya kuomba dhamana ambayo tayari imeshakataliwa na ni subject ya determination ya appeal, itakuwa ni kuprejudice the existing appeal, maombi hayo yatatupiliwa mbali.
 
Back
Top Bottom