Mahakama ya Kanda ya Dar Kesho itaendelea kusikiliza rufaa ya maombi ya Mhe. Mbowe na Mhe. Ester Matiko

Na kwa taarifa yenu tu ni kuwa mh Mbowe na Matiko watatoka tu na kama utachukia ukanywe sumu ufe tu maana huna faida kwa taifa wala kwa ndugu zako

In God we Trust
Hiyo inajulikana na Lowassa ameshawafanyia wepesi kule nyumbani!
 
Halafu ushauri wenyewe ni kuingizana chaka tu, as bail pending appeal huombwa pale mtu tayari anakuwa kapatikana na hatia ya kosa lake na yupo katika mchakato wa kukata rufani, hupeleka maombi ya dhamana mpaka pale rufani itakaposikilizwa.

Situation ya mbowe ni tofauti, kinachobishaniwa ni dhamana yenyewe, kwamba dhamana ilikataliwa baada ya wahusika kuruka masharti ya dhamana, wakakata rufani mahakama kuu kuomba uamuzi wa kuwafutia dhamana kuondolewa, hivyo huwezi peleka maombi mengine tena ya kuomba dhamana ambayo tayari imeshakataliwa na ni subject ya determination ya appeal, itakuwa ni kuprejudice the existing appeal, maombi hayo yatatupiliwa mbali.
Tuko pamoja mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hasa viongozi wengi wa chama twawala maana lowasa alipo hamia cdm walimuita oil chafu sasa karudi ccm wana muita lulu!
Hahahaha hawa ndo wanasiasa mtu mmoja anakuwa na kauli zaidi ya moja anajipinga mwnyewe tatzo nililogundua hawa wanasiasa vichwa vyao havitunzi kumbukumbu

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Wabongo kwa kujishaua na kupenda sifa.....Ndo maana hatuendelei..."eti msomi mwenzangu". Usomi hauonekani kwa kujitangaza

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimfuatilia huyo anayejiita msomi post zake humu utashangaa sana inakuaje naye anajiita msomi.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Back
Top Bottom