Mahakama ya kadhi

Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
12,666
19,674
Naombeni ufafanuzi juu ya aina hii ya mahakama coz nimepewa maneno kibao yaa kimtaa sasa nataka nisikie jinsi GREAT THINKERS mnaijuaje kiutendaji wa kazi.
 
mahakama ya kislamu kushughulikia mambo ya ndoa,talaka mirathi na masuala mengine ya kidini.haihusishi makosa ya jinai na si lazima kwa muumini
 
kwa mfano mi nimetembea nje ya ndoa nikashikwa na mume wng kaenda kunishitaki huko na yeye ni muumin wa din husika nimekataa kesi yangu kupelekwa huko inakuaje?
 
Hi ni mahakama ya kidini zaidi,ni wasomi wa Quran ndio wenye uwezo wa kukupa ufafanuzi wa hiyo mahakama,kwa kifupi ni mahakama ya kutasfiri 'do' na 'do not' za kwenye Quran dhini ya ummat muhammad,si mahaka simple kama wanasiasa na waislam uchwara wanavyoizungumza,ni mahakama ya ukweli as far as jamii ya waislam is concerned.
swala la ndoa na mirathi ni baadhi tu ya yale yatendwayo na hiyo mahakama. KWA UKWELI MAHAKAMA YA KADHI IN ITS REAL SENSE AND CONTEXT, haiwezekani kuwa fully utilized kwenye circular state kama yetu au hata nyingine,zilzopo kwenye circular states ni pasted edited vesion ya mahakama ya kadhi. madai ya waislam dhidi ya hiyo japo wanajua ukweli wanajificha wamekuwa kama ngamia na ombi la kuingiza kichwa kwenye hema,ukimruhusu..............!!!!!!!!!!!!!!!!!?????????????????
 
Mtakapoanza kuchapwa viboko 80 pale posta,na kukatwa mikono,kupigwa mawe huku kiwili wili kikiwa chini ya ardhi ndio mtajua ni mahakama ya aina gani,muhammadans matatizo matupu!
 
kwa mfano mi nimetembea nje ya ndoa nikashikwa na mume wng kaenda kunishitaki huko na yeye ni muumin wa din husika nimekataa kesi yangu kupelekwa huko inakuaje?

Unakataa kupelekwa huko ukijuwa hukum yake au unakataa kwalipi wewe na mume ni waisilam utakataejee nahiyo mahakama mwaitaka yanini huku munaogopa kuitumia kiufupi mahakama inaendeswa kwa misingi yaimani na kanuni za kuruan kasome kuruan mtuakizini ukumu yake ni nini wengine tukisema itaonekana wachochezi majibu yapo kwenye kitabu kitakatifu shangazi yangu umenifulaisha unataka kuoga kulowana hutaki
 
Naombeni ufafanuzi juu ya aina hii ya mahakama coz nimepewa maneno kibao yaa kimtaa sasa nataka nisikie jinsi GREAT THINKERS mnaijuaje kiutendaji wa kazi.

Kwa hiyo maneno ya mashehe wako unayaita ya kimtaa!!!
 
mahakama ya kislamu kushughulikia mambo ya ndoa,talaka mirathi na masuala mengine ya kidini.haihusishi makosa ya jinai na si lazima kwa muumini

Mahakama hii inahusika pia kuwapiga wazinzi na waasherati mawe kama wanavyofanya Al Shabaab wa Somalia!
 
kutokana majibu yote hapo juu hii tena sio the home of great thinkers ni the home of great liers
 
kwa mfano mi nimetembea nje ya ndoa nikashikwa na mume wng kaenda kunishitaki huko na yeye ni muumin wa din husika nimekataa kesi yangu kupelekwa huko inakuaje?
Sheria ya Kenya, tukiichukulia kama model inayoweza kutumika na hapa kwetu, inasema mahakama hizo zitakuwa na nguvu juu ya waislamu wale tu waliojipeleka wenyewe kwenye mahakama hizo za Kadhi. (Ib. 170(5) Katiba). Ikija kuwa hivyo basi wewe ukikataa kwenda mahakamani itakuwa umeweza kuikwepa.

Mahakama ya hiari. Ambayo kwa kweli itakuwa kituko. Ni washitakiwa wangapi watajipeleka wenyewe mahakamani kama si lazima kwenda? The only conceivable way for this court to work as I see it would be siku ile mnafunga ndoa basi unafanya choice of law decision. Unataka beef zenu ziende kwa hakimu au kwa kadhi au msuluhishi mnaemjua nyinyi wenyewe? Ukichagua, umechagua, ikila kwako usilie na mtu, kama kesi ya TANESCO na DOWANS.

kutokana majibu yote hapo juu hii tena sio the home of great thinkers ni the home of great liers
ni vizuri ukaelezea ujuavyo sana kwa faida ya wengi.bora hao wajuao kidogo wamejaribu kushare kuliko wewe ujuaye ila unawakejeli
 
kutokana majibu yote hapo juu hii tena sio the home of great thinkers ni the home of great liers

Naona kama unaufahamu zaidi naomba niokoe kutoka uongo uliuona kwenye comments za wanaJF.
 
Sheria ya Kenya, tukiichukulia kama model inayoweza kutumika na hapa kwetu, inasema mahakama hizo zitakuwa na nguvu juu ya waislamu wale tu waliojipeleka wenyewe kwenye mahakama hizo za Kadhi. (Ib. 170(5) Katiba). Ikija kuwa hivyo basi wewe ukikataa kwenda mahakamani itakuwa umeweza kuikwepa.

Mahakama ya hiari. Ambayo kwa kweli itakuwa kituko. Ni washitakiwa wangapi watajipeleka wenyewe mahakamani kama si lazima kwenda? The only conceivable way for this court to work as I see it would be siku ile mnafunga ndoa basi unafanya choice of law decision. Unataka beef zenu ziende kwa hakimu au kwa kadhi au msuluhishi mnaemjua nyinyi wenyewe? Ukichagua, umechagua, ikila kwako usilie na mtu, kama kesi ya TANESCO na DOWANS.

Ondoa kwanza chuki zako utaelewa ok?
 
Naomba wataalamu mnipatie elimu, nimekuwa nikisikia mijadala mbalimbali kuhusu mahakama hii, wakristo wanaipinga kuendeshwa na serikali, pia waislamu wanasema mbona Kenya na Uganda ipo na hakuna matatizo, naomba kujua kama ifuatavyo. 1: je, mahakama ya kadhi ina ubaya gani? Na pia kuna shida gani ikiendeshwa na serikali?(kugharamiwa). 2: huko ilipo Kenya na Uganda je, inagharamiwa na Serikali za nchi hizo? Na je, huko Kenya na Uganda Wakristo wa huko wameathirika vipi na uwepo wa mahakama za kadhi katika nchi hizo? Naomba munisaidie nielewe kama kuna hoja ya maana kwa wanaoipinga hapa Tanzania. Mungu ibariki Tanzania.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom