Mahakama ya Kadhi yaombwa Bungeni na Mbunge wa CUF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahakama ya Kadhi yaombwa Bungeni na Mbunge wa CUF

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Jun 26, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ataka mahakama ya itakayosimamia haki za waislam hasa wanaopoteza haki ya kuoa na kuolewa na haki ya kuacha na kuachwa.
   
 2. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,528
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  sasa kwani wamekatwa kuwa nayo?
   
 3. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,882
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hawa wanauamsho hawatulii?
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,661
  Likes Received: 913
  Trophy Points: 280
  Pia kusimamia Ulaji mzuri wa pilau
   
 5. a

  adolay JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 6,477
  Likes Received: 1,243
  Trophy Points: 280
  Mbona kikwete ameruhusu, huyu mbunge wa serikali ipi asiefahamu hilo?

  Suala ni mahakama ya kadhi au fedha za serkali? napata utata hapa
   
 6. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Baadaye mnasema wakatoliki wapo mbali kimaendeleo kumbe ninyi baadala ya kuomba mambo ya msingi udini tu unawasumbua kila kitu. Sasa imebakia kuomba waislamu muwe na daladala zenu, baadaye mtahitaji kutengewa barabara zenu..
   
 7. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 9,871
  Likes Received: 2,078
  Trophy Points: 280
  Waisilamu wanakataliwa kuoa au kuolewa?
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hivi waislam wamekataliwa kuanzisha Mahakama yao ya kadhi?
   
 9. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 8,982
  Likes Received: 2,706
  Trophy Points: 280
  Waislamu acheni kujichelewesha anzisheni mahakama ya kadhi muiendeshe kwa fedha yenu sasa mnataka serikali iwaanzishie na kuendesha kwani serikali ina dini? nyie kama mnataka kukatana mikono, kupigana mawe anzisheni kwa gharama zenu! tuisukumeni serikali ianzishe shule hospitali ijenge barabara, itupatie maji safi ituletee umeme, ipatie vijana wetu ajira n.k hilo la mahakama ya kadhi changishaneni misikitini muanzishe hiyo mahakama!!
   
 10. tanira1

  tanira1 JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 938
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hawajakataliwa serikari imeruhusu lakini kwa gharama zao wao walikuwa wanataka shughuli za mahakama hiyo zigharamiwe na serikari naona hapo ndio bado wanadai
   
 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,588
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  Jimboni kwake kuna madawati ya kutosha na maji ya bomba maeneo yote??
  Huduma za kijamii zimejitosheleza??!
   
 12. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,930
  Likes Received: 2,986
  Trophy Points: 280
  Wanajua wanachokitaka wanataka mtu akitenda kosa kama ni muislamu wanamuhukumu wenyewe
   
 13. F

  FJM JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  RC wana mahakama yao na mambo safi kabisa. kwa nini serikali gharama za mahakama za kadhi?
   
 14. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kitaeleweka tu! Ngoja nijipange kufungua kesi ya kuidai Tanganyika ili wao waende zenji na kadhi yao.
   
 15. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #15
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 16,317
  Likes Received: 5,828
  Trophy Points: 280
  mkuu wanasiasa ndio wanaotuchanya kwa maslai yao. Na huyo mbunge ndio ameona pa kutokea ni mahakama ya kadhi.!!
   
 16. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #16
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,551
  Likes Received: 611
  Trophy Points: 280
  Inaonekana kwa wenzetu kuoa na kuolewa ndiyo agenda kuu ya maendeleo. Poleni sana.
   
 17. H

  Hydrobenga JF-Expert Member

  #17
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 1,124
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  We ***** unafikiri nchi ya baba ako hiii......kwani hakuna waislamu Tanganyika ? Wewe mtiti wa waislamu unaujua au unausakia ?
   
 18. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #18
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtiti wa waislam ni kama ule wa waislam 42 wa somalia waliofia dom,kama ni wajanja wanakimbia nn wakati mtiti waliuanzisha
   
 19. H

  Hydrobenga JF-Expert Member

  #19
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 1,124
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  [​IMG] By kuku dume [​IMG]
  Kitaeleweka tu! Ngoja nijipange kufungua kesi ya kuidai Tanganyika ili wao waende zenji na kadhi yao.


  Ok sasa mwambie huyo mbwiga ajue hata hapa tanganyika waislamu wapo ... na wanaweza kuigeuza hii nchi somalia ndani ya dakika sifuri
   
 20. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #20
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,803
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  pigeni kelele weeeee.....mkianza ujinga wenu tunawaletea afande Tossi ili awafanye kama alivyowafanya mwembechai na Zenji mwaka 2001
   
Loading...