Mahakama ya Kadhi vs BAKWATA!

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,199
1,969
Wakuu,

Nimesikia Waislamu wengi wakidai kwamba hawaipendi na hawalitaki Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) kwa kuwa liko chini ya Serikali na pia lilianzishwa na Serikali! Pia nimesikia kwamba Mikutano mingi ya BAKWATA hufadhiliwa na Serikali! Vile vile kuna taasisi kadhaa za kiislamu ambazo hazitaki kuwa chini ya BAKWATA, simply kwa sababu ilianzishwa na Seikali, tena wengine wanaifananisha BAKWATA na BAKITA (yaani Baraza la Kiswahili la Taifa)!

Well, kama ndio hivyo, kwa nini Waislamu hao hao wanataka Mahakama iwe chini ya Serikali na pia kuendeshwa kwa gharama za Serikali?

Mimi kwa mawazo yangu kuna mambo yaliyojificha nyuma ya pazia na ieleweke wazi kuwa Waislamu hata wakipatiwa Mahakama ya Kadhi ikiwa chini ya Serikali hautakuwa mwisho wa Waislamu "kuonewa" bali watakuja na ajenda nyingine na mwisho wa siku tutajishtukia tuko kama Somalia au Nigeria!

Kwa hiyo, tuikatae Mahakama ya Kadhi kuwa chini ya Serikali, maana ni Ibada ya Waislamu, kwa gharama yoyote!

Nawasilisha, kwa mjadala!
 
Mahakama ya kadhi haiwezi kuwa chini ya serikali alah wao anaroho mbaya sana ,atakata mikono watu!kwanza hata wakipewa kutakuwa hamna wateja utaskia hukumu mtu anachapwa viboko 80 pale posta!
 
Bakwata ni baraza la mwezi na si baraza la waislam. Wao wanasikikaga kipindi cha mwandamo tu. Nawachukia. Mm ni muislam na najidai kuwa muislam na ntakufa nikiwa muislam inshaalah.
 
Mleta hoja,unachokiongea ndo msimamo wa serikali na kama umesoma posts zinazohusu mada hii usingekuwa na sababu ya kuanzisha thread mpya...hakuna ulichowasilisha hapa mkuu.
 
Angalia matumizi ya maneno kwa gharama yeyote ina maana mbaya. msichangaye mada mkawapotosha watu mahakama ya kadhi itasimamia mambo yanayowahusu waisalamu peke yao hasa ndoa na mirathi hakatwi mtu mkono wala hachapwi mtu viboko kule posta sheria za jinai hazijafutwa na wala waislamu hawajaomba zifutwe. Walevi wataendelea kunywa chibuku kina dadapoa wataendelea kuuza miili yao mafisadi nao wataendelea bila juzuiwa na waislamu. Msilete islamaphobia
 
Haiwezekani baadhi ya sheria za Kiisilamu, zizuiliwe kuamuliwa chini ya misingi ya sharia za Allah na mtume wake, kinachofanyika hapa ni kutafuta mlango wa kuingilia, baadaye wezi kukatwa mikono na wazinifu kupigwa mawe ni hatua zitakazofuata baada ya mahakama kuanza kazi.
 
Ni dini ya upanga, ndiyo mana hawana maendeleo, na hata sadaka hawapendi kutoa kisa masheikh watafaidi, shule hawapendi kusoma, wamekalia mihadhara kuwakashifu wakristo wakati hao wakristo wameenda shule na wanamaisha mazuri sana, na wanajenga kila siku mashule, mahospitali, mavyuo.

Mbadilike waislam jamani mtaacha lini kuwa na fikra mgando, na siss CCM tutaendelea kuwadanganya mpaka kesho mana nyie ndiyo wapiga kura wetu, wakristo kuwadanya kazi ndiyo mana hawatupendi.
 
Hii dini ina matatizo kama aliyokuwa nayo Mtume Muddy........Manake alikuwa hajui kusoma wala kuandika.
 
Haiwezekani baadhi ya sheria za Kiisilamu, zizuiliwe kuamuliwa chini ya misingi ya sharia za Allah na mtume wake, kinachofanyika hapa ni kutafuta mlango wa kuingilia, baadaye wezi kukatwa mikono na wazinifu kupigwa mawe ni hatua zitakazofuata baada ya mahakama kuanza kazi.

hadi nchi iwe 100% islamic laws za kukata mkono kuna vigezo.. mfano 97-99 % ya wananchi awe waislam ... kuna baadhi ya sheria kama za ndoa na mirathi kwetu sisi ni lazima zifatwe...

wewe kama nani hutaki wakati wenyewe twataka...

kuhusu serikali kujivua gamba.. mi nawapongeza .. sasa atlist maaskofu wataacha kuongea maana kilio chao kilikuwa zitatumika kodi zao.. since waislam tumeachiwa hili jambo mikononi mwetu na tumeruhusiwa then watatokea tu matajiri wa kiislam ndani & nje ya tanzania na kudhamini hii mahakama hatushindwi na kwa uwezo wa mola zitaanzishwa...
 
Mahakama ya kadhi haitakiwi kabisa TZ labda kwa nchi za kiislam huko!

lakini kuna waislam wewe mkristo ina kuhusu nini.. ingekuwa inakuhusu ingekuwa na haki ya kupiga kelele, je kenya nchi ya kiislam..?
 
On my dead body siwezi kuruhusu kodi yangu ikanunue panga la kukata watu mikono.

Sidhani hata kama kodi unalipa... na kwa taarifa serikali imejitoa.. tutadhamini wenyewe... tafuta lingine
 
Kudos to JK kwa ku-speak the obvious. Hakuna 'dini' yenye haki ya kuidai serikali itimize ibada yake. At least serikali ktk hili ipo ktk uelekeo sahihi.
 
Hii dini ina matatizo kama aliyokuwa nayo Mtume Muddy........Manake alikuwa hajui kusoma wala kuandika.

mawazo yako ni kama ya wale waliochonga lile sanamu la mzungu lililopigiwa misumari & die with helpless death nakuwaambia ati ni mungu ... tumia ubongo kufikiri
 
mawazo yako ni kama ya wale waliochonga lile sanamu la mzungu lililopigiwa misumari & die with helpless death nakuwaambia ati ni mungu ... tumia ubongo kufikiri

AT least wale waliochonga sanamu they have balls kusimamia mambo yao, sio kila siku kulialia tunaonewaaaaaaaaaaaa..this is so pathetic.
 
AT least wale waliochonga sanamu they have balls kusimamia mambo yao, sio kila siku kulialia tunaonewaaaaaaaaaaaa..this is so pathetic.

kama umegunduwa wewe nilikupotezea siku nyingi sana ku replay posts zako .. mzee wa degree tatu! wala usijisumbue kunijibu.. u ain't even my level of thinking & understanding .. yaan we nipotezee tu! nashangaa unajina la kiarabu alafu unalalamika waislam wanapenda waarabu kuliko waafrika
 
. since waislam tumeachiwa hili jambo mikononi mwetu na tumeruhusiwa then watatokea tu matajiri wa kiislam ndani & nje ya tanzania na kudhamini hii mahakama hatushindwi na kwa uwezo wa mola zitaanzishwa...
Kama mawazo ya waislamu ndiyo haya mtaendelea kuwa watumwa wa kina Gaddafi milele.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom