Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,199
- 1,969
Wakuu,
Nimesikia Waislamu wengi wakidai kwamba hawaipendi na hawalitaki Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) kwa kuwa liko chini ya Serikali na pia lilianzishwa na Serikali! Pia nimesikia kwamba Mikutano mingi ya BAKWATA hufadhiliwa na Serikali! Vile vile kuna taasisi kadhaa za kiislamu ambazo hazitaki kuwa chini ya BAKWATA, simply kwa sababu ilianzishwa na Seikali, tena wengine wanaifananisha BAKWATA na BAKITA (yaani Baraza la Kiswahili la Taifa)!
Well, kama ndio hivyo, kwa nini Waislamu hao hao wanataka Mahakama iwe chini ya Serikali na pia kuendeshwa kwa gharama za Serikali?
Mimi kwa mawazo yangu kuna mambo yaliyojificha nyuma ya pazia na ieleweke wazi kuwa Waislamu hata wakipatiwa Mahakama ya Kadhi ikiwa chini ya Serikali hautakuwa mwisho wa Waislamu "kuonewa" bali watakuja na ajenda nyingine na mwisho wa siku tutajishtukia tuko kama Somalia au Nigeria!
Kwa hiyo, tuikatae Mahakama ya Kadhi kuwa chini ya Serikali, maana ni Ibada ya Waislamu, kwa gharama yoyote!
Nawasilisha, kwa mjadala!