Mahakama ya Kadhi: Masheikh wakutana na JK

Ni ndoto kufikiria kwamba serekali itatenga fungu kwa uendeshaji wa Mahakama ya kadhi... Na kutumia Jitihada za taasisi za kijamii kama njia ya kujenga hoja kwasababu kuna fedha zinazoenda kusaidia taasisi hizo kutoa huduma kwa watanzania wote bila ya ubaguzi pia inasikitisha sana......
kwa nini serikali isitenge? kwani waislamu hawakatwi kodi? huu ndio udini usiotakiwa hapa nchini...wake up and open your eyes boy
 
hatutaki kiongozi kigeugeu hapa..kama umewaahidi kitu watu kwa nini usiwape? watu wameshakupa kura umeshapata uongozi sasa hivi unawageuka...hii ni nini?we are not fools...
 
<br />
<br />

Recruit them saint, make them hate the guy. Win-win strategy.
 
Ni vigumu sana kuwaelewa waislam. Mmeomba mahakama ya kadhi mmepewa..lakini bado mnalalamika. Mmelalamikia MoU kati ya serikali na wakristo....Kikwete kawaambia na nyie andaeni makubaliano yenu lakini ah bado mnalalamika. Huduma za jamii mnapata bila ubaguzi lakini bado mnalalamika ...malalamiko ni mengi mpaka yamekuwa sehemu ya ibada yenu. Mimi nasema mtalalamika saaaana ,lakini hii kitu aliyosema kikwete (muislamu mwenzenu) itabaki hivyo hivyo hata mkilia machozi ya damu. gn8!
 
Tanzania bado tuna kazi kubwa. Halafu mtu kama huyu ananiambia mimi nafikiri kwa kutumia masaburi. Kwa hiyo wewe unakwenda pale dukani na kibaraghashia na kanzu yako na kumuambia mwenye duka mimi ni muislam...nipunguzie kodi ya mchele au? yaani mpaka mbavu zinaniuma kwa kucheka ingawa inahuzunisha kwa kweli!

Unazidi kujidhihirisha kuwa unatumia masaburi kufikiri. Kwani serikali haiwezi kutumia vitambulisho vya uraia vinavyotegemea kutolewa karibuni kuwa identity ya kumtambua kama mtanzania muislamu au mkristo ili aweze kupunguziwa kodi kwasababu yeye hafaidiki na zile billioni 600 zinagaiwa kwa makanisa??? Yaani wewe kitambulisho ni kibarakashia kuonyesha jinsi gani unavyotumia masaburi kufikiri nikuulize kwani Mrema Muislamu na mbona anavaa kibarakashia? Mbowe ni muislamu mbona amevaa kibarakashia. Acha kufikiri kwa kutumia masaburi serikali inaweza kutumia vitambulisho vya uraia kutoa discount katika VAT kusaidia hiyo tofauti ya kodi waislamu wakahudumie huduma zao wenyewe.

Hicho kitu kinafanyika duniani mfano UK kuna jamii ya watu kutoka Nepal wanaoitwa Gurka ambao ni askari wa kukodiwa na Uingereza ambao hapo UK hupata discount kwenye bei ya vitu katika masoko kama vile vyakula, vinywaji nk. Pia wanajeshi wa nchi kama UK na US hupewa discount katika VAT kufidia gharama za maisha.

Amka ndugu yangu amasivyo huduma za bure zinatawatokea puani pindi waislamu wakiamka nao kudai kodi zao zinaenda wapi, I am just saying!!!!
 
Ni vigumu sana kuwaelewa waislam. Mmeomba mahakama ya kadhi mmepewa..lakini bado mnalalamika. Mmelalamikia MoU kati ya serikali na wakristo....Kikwete kawaambia na nyie andaeni makubaliano yenu lakini ah bado mnalalamika. Huduma za jamii mnapata bila ubaguzi lakini bado mnalalamika ...malalamiko ni mengi mpaka yamekuwa sehemu ya ibada yenu. Mimi nasema mtalalamika saaaana ,lakini hii kitu aliyosema kikwete (muislamu mwenzenu) itabaki hivyo hivyo hata mkilia machozi ya damu. gn8!

So what is your solution to solve malalamiko ya waislamu au hiyo nyekundu ndio mwisho wako wa kufikiri???
 
Unazidi kujidhihirisha kuwa unatumia masaburi kufikiri. Kwani serikali haiwezi kutumia vitambulisho vya uraia vinavyotegemea kutolewa karibuni kuwa identity ya kumtambua kama mtanzania muislamu au mkristo ili aweze kupunguziwa kodi kwasababu yeye hafaidiki na zile billioni 600 zinagaiwa kwa makanisa??? Yaani wewe kitambulisho ni kibarakashia kuonyesha jinsi gani unavyotumia masaburi kufikiri nikuulize kwani Mrema Muislamu na mbona anavaa kibarakashia? Mbowe ni muislamu mbona amevaa kibarakashia. Acha kufikiri kwa kutumia masaburi serikali inaweza kutumia vitambulisho vya uraia kutoa discount katika VAT kusaidia hiyo tofauti ya kodi waislamu wakahudumie huduma zao wenyewe.

Hicho kitu kinafanyika duniani mfano UK kuna jamii ya watu kutoka Nepal wanaoitwa Gurka ambao ni askari wa kukodiwa na Uingereza ambao hapa UK hupata discount kwenye bei ya vitu katika masoko kama vile vyakula, vinywaji nk. Pia wanajeshi wa nchi kama UK na US hupewa discount katika VAT kufidia gharama za maisha.

Amka ndugu yangu amasivyo huduma za bure zinatawatokea puani pindi waislamu wakiamka nao kudai kodi zao zinaenda wapi, I am just saying!!!!
naona hiki ni kichekesho cha mwisho kukiangalia kwa leo nisije nikajiumiza mwenyewe.! Ungekuwa karibu hapa ningekutupia kitu kidogo..kazi nzuri sana ya uchekeshaji mkuu!
 
Umeishiwa hoja wewe naona unajichekesha mbele ya wanamume endelea kucheka mie niko serious angalia usije kucheka sana mkuu kwani ina thari kubwa katika mwili.
 
<br />
<br />

Recruit them saint, make them hate the guy. Win-win strategy.
im not recruiting anybody...every thing is open...we dont want this kind of leadership....kwani mubarak sio mwislamu? kwa nini watu wamempindua? huyu jamaa asitumie mgongo wa dini ya kiislamu akifikiri kuwa yuko salama....waislamu sio wajinga kiasi cha kudanganywa kama watotoo...why? hawezi kuchezea watu namna hii ...
 
I feel myself slowly going dumb just by following this thread... there goes 30 mins of my life i will never get back :-(
 
Ni vigumu sana kuwaelewa waislam. Mmeomba mahakama ya kadhi mmepewa..lakini bado mnalalamika. Mmelalamikia MoU kati ya serikali na wakristo....Kikwete kawaambia na nyie andaeni makubaliano yenu lakini ah bado mnalalamika. Huduma za jamii mnapata bila ubaguzi lakini bado mnalalamika ...malalamiko ni mengi mpaka yamekuwa sehemu ya ibada yenu. Mimi nasema mtalalamika saaaana ,lakini hii kitu aliyosema kikwete (muislamu mwenzenu) itabaki hivyo hivyo hata mkilia machozi ya damu. gn8!
wewe unaongea nini ndugu yangu? hiki amachotaka kuwapa waislamu hawajakiomba..na wakati wa kampeni zake ccm waliahidi kuleta hii mahakama ya kadhi...ina maana walikuwa hawajafanya utafiti? sisi tunataka serikali igharamie kila kitu na hii mahakamma iingizwe kwenye mfumo wa serikali kama tulivyoomba....kwa nini atudanganye? tatizo ni nini? dharau?
 
Muislamu kamili hataacha kupata huduma za kijamii zitolewazoa na taasisi za dini ya kikristu. Muislam kamili hataacha kulipa kodi. Muislam kamili halalamiki bali anakuja na ufumbuzi wa matatizo yanayomkabili. Muislam kamili anaamini kuwa ukishajua kuwa jambo flani ni hatari, ni dhahiri hakuna hatari tena. Muislam safi hutafuta mapendo ya milele. Takbiiir...
 
kuna tofauti ...fungu la wakatoliki linawasaidia watanzania wote.. tofauti na fungu la mahakama ya kadhi kama ingeendeshwa na serikali . uck mwema!
yaani wewe ndio unaleta udini wazi wazi kabisa mchana kweupe...sasa kwani hakimu mwislamu akiajiriwa kwenye hio mahakama wewe itakupunguzia nini? hii ni sekta kama sekta zingine tu ..let say wewe umesomea mining lazima ukaajiriwe huko migodini na mimi niliyesomea udaktari lazima nikafanye kazi inayoendana na fani yangu ..sasa mimi nikienda kuajiriwa hospitalini wewe itakuuma nini?
 
naona hiki ni kichekesho cha mwisho kukiangalia kwa leo nisije nikajiumiza mwenyewe.! Ungekuwa karibu hapa ningekutupia kitu kidogo..kazi nzuri sana ya uchekeshaji mkuu!
naona umechoka ndugu yangu kufikiri ...kazi ya kutumia masaburi na hilo yai unalolikanyaga hapo sio ya kitoto lazima akili isifanye kazi vizuri
 
Back
Top Bottom