Madikizela
JF-Expert Member
- Jul 4, 2009
- 675
- 439
Moja kati ya mkakati wa JK ni kuhakikisha kuwa mahakama ya Kadhi inapitishwa kabla hajamaliza n'ngwe yake. tunaweza tukapiga sana kelele za udini kuwa haupo...huko ni kujidanganya wenyewe:target:
Kilichofanya isianzishwe mpaka leo............Ndo hicho hicho kitafanya isiwezekane.............. NCHI HAINA DINI HIII ....MAMBO YOTE YA KIDINI YANAFANYWA NA DINI HUSIKA...................Moja kati ya mkakati wa jk ni kuhakikisha kuwa mahakama ya Kadhi inapitishwa kabla hajamaliza ngwe yake. tunaweza tukapiga sana kelele za udini kuwa haupo...huko ni kujidanganya wenyewe:target:
haitawezekana kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaMoja kati ya mkakati wa jk ni kuhakikisha kuwa mahakama ya Kadhi inapitishwa kabla hajamaliza ngwe yake. tunaweza tukapiga sana kelele za udini kuwa haupo...huko ni kujidanganya wenyewe:target:
Itaingiza hela,hakuna kesi utakayofungua katika mahakama yoyote bila kulipa,hata vielelezo vya aina vyote mahakamani vinalipiwa.Haya mambo ya wakristo kupewa hela sijui na nani huwa si kweli hii,
Alafu kuja kulinganisha na mahakama ya kadhi, iyo mahakama itaingiza hela au itatoa hela hadi za watu isiyowahusu
Shekh kumbuka kunamemorundom of understanding baina ya serikali na makanisa na alina mjadala wa kitaifa ,kwanin mahakama ya kadhi iwe tatzo kwa wakristo wakati wao wanapewa mabilion ya pesa kila mwaka kutoka serikalini AU si kodi za waislam hao wanaoidai madai hyo
wewe mbulula ISIS, hivi waislam hawatibiwi kwenye hospitali za wakristo mnazozionea wivu, hivi waislam hawasomi shule za wakristo, unajua bila shule za wakristo waislam wasomi wangekuwa wachache sana?funguka akili, mtalishwa matope hadi lini?Shekh kumbuka kunamemorundom of understanding baina ya serikali na makanisa na alina mjadala wa kitaifa ,kwanin mahakama ya kadhi iwe tatzo kwa wakristo wakati wao wanapewa mabilion ya pesa kila mwaka kutoka serikalini AU si kodi za waislam hao wanaoidai madai hyo
wewe mbulula ISIS, hivi waislam hawatibiwi kwenye hospitali za wakristo mnazozionea wivu, hivi waislam hawasomi shule za wakristo, unajua bila shule za wakristo waislam wasomi wangekuwa wachache sana?funguka akili, mtalishwa matope hadi lini?
Ninawasiwasi na huyo shehe wala hana sifa za kitwa "sheikh" coz ni mnafiki na mzandiki!pia hana points za msingi Hatufai kabisa.