Mahakama ya kadhi haitakuwapo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahakama ya kadhi haitakuwapo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jul 22, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,656
  Trophy Points: 280
  Wana ndugu wapendwa katika bwana nimependa kuwapa moyo watanzania hususani serikali ya tanzania msijisumbue na makelele ya baadhi ya watu ...hii mahakama inayopigiwa kelele haitakuwa katika jina la yesu...na popote watakapopanga kukaa kukutana na serikali mungu lazima avuruge vikao vyao.....na sema haya kwa mamlaka tuliopewa na mungu

  ISAYA 7:7

  BWANA MUNGU ASEMA HIVI NENO HILI HALITASIMAMA WALA HALITAKUWANAPENDA KUWAHAKIKISHIA HAKUNA KITU KINACHOITWA MAHAKAMA YA KADHI KITACHOTOKEA......

  HESABU 14:28

  KADRI MNENAVYO NDIVYO NITAKAVYOTENDA MUNGU ANATIMIZA AHADI ZAKE ...HIVYO BASI KAMA TUNAVYOSEMA LEO HAKUNA WALA HAITAKUWA MAHAKAMA YA KDHI MUNGU AMEKWISHATENDA


  MWANZO 11:7

  HAYA NA TUSHUKE UKO TUWACHAFULIE USEMI WAO ILI WASISIKILIZANE MANENO WAO KWA WAO ....NAPENDA KUWATANGAZIA HATA WAKUSANYIKE 60 NA SERIKALI HAWATOELEWANA KAMWE NISHASHUA UPAKO WA KUTOKUELEWANA CHOCHOTE WATAKACHOFIKIRIA .JUU YA MAHAKAMA HII..

  MUNGU AWABARIKI WOTE
   
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Jul 22, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Amen!
   
 3. n

  nbenta New Member

  #3
  Jul 22, 2009
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashindwa kukuelewa ndg yangu, mbona mahakama ya kadhi haikuhusu!!!
  Mahakama ya kadhi ni kwajili ya waislamu tu na si wengineo. Sasa nikuulize wewe ni muislamu? Bila shaka hapana. Nahisi hata hiyo imani uliyonayo ina mapungufu. Nakushauri ukae kimya kwa yasiyo kuhusu.
   
 4. T

  TX Member

  #4
  Jul 22, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama haitakuwepo basi uje na vatican ipo siku itaondoka tz. kwani sio kila siku watz watakubali kudangwa uhusiano wa tz na vatican
   
 5. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2009
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Pdidy,
  Jitahidi kuhakikisha unaandika "Mungu" au "MUNGU" na si "mungu". "Yesu" au "YESU" na si "yesu". Vinginevyo tutakuelewa vibaya.
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,656
  Trophy Points: 280
  Pdidy,
  Jitahidi kuhakikisha unaandika "Mungu" au "MUNGU" na si "mungu". "Yesu" au "YESU" na si "yesu". Vinginevyo tutakuelewa vibaya.

  aHSANTE MKUU NI MUNGU
   
 7. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mada hii ilishahitimishwa na Bunge hadi 2012,nini tena kinawawasha?
   
 8. m

  muvimba Member

  #8
  Jul 23, 2009
  Joined: Apr 20, 2008
  Messages: 76
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Nafikiri hakuna haja ya kuwa na kitukam hicho kwani nchi hii haina dini, kwa nini mahakama ya kadhi
   
 9. N

  Ndaga Senior Member

  #9
  Jul 23, 2009
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 164
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Pdidy,
  Mungu akubariki kwa uamusho huu tena! hatutachoka kuomba hadi ipotee mawazoni mwa hao wanautazamia.Imen
   
 10. W

  William John 67 Member

  #10
  Jul 23, 2009
  Joined: Jul 11, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vatican ya nini Tanzania?
  Mahakama ya Kadhi haina tatizo lolote
   
 11. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Waislamu kuungurumisha Dua maalumu leo

  Friday, July 24, 2009 10:02 AM
  WAUMINI wa dini ya Kislamu nchini, leo wanatarajia kusoma dua maalumu kwa ajili ya kumkabidhi Mwenyezi Mungu dhidi ya suala ya kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi nchini Waumini wa madhehebu mbalimbali ya dini ya kiislamu watakutana jijini Dar es Salaam kusoma dua maalumu ili kuomba Mwenyezi Mungu awazidishie rehema juu ya suala hilo.

  Dua hiyo maalumu inatarajiwa kusomwa katika Viwanja vya Msikiti wa Mtambani uliopo Wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam.

  Dua hiyo inatarajiwa kuwakutanisha waislamu kutoka kona mbalimblai za jijini na mikoani ili kumuomba Mungu kwa pamoja kutimiza suala hilo likubaliwe na liende haraka kama wanavyohitaji.

  Kusomwa kwa dua hiyo maalumu kumekuja baada ya Jeshi la Polisi nchini kupiga marufuku maandamano yaliyotakiwa kufanyika wiki iliyopita nchi nzima kushininkiza uharaka wa kuanzishwa kwa mahakama hiyo.

  Kutokana na kupigwa marufuku kwa maandamano hayo waislamu wameamua kukutana na kusoma dua hiyo maalumu ili kumkabidhi Mwenyezi Mungu.

  Akitoa taarifa za kusomwa kwa dua hiyo Katibu wa Msikiti wa Mtambani, Ustadhi Abdallah Ally amesema kuwa, dua hiyo itafanyika mara baada ya kufanyika kwa sala takatifu ya Ijumaa.

  Amesema katika dua hiyo waislamu wataorodhesha baadhi ya majina ya viongozi wa Serikali wanaoonekana kuleta vikwazo katika kuanzishwa kwa Mahakama hiyo kwa masilahi ya waislamu.

  Amesema viongozi hao watatajwa kwa majina yao katika dua hiyo ili Mungu aweze kuwaongoza na kama wataendelea kubisha laana ya Mwenyezi Mungu iwapate.

  Pia katika umati huo wa waislamu utakaokusanyika leo katika viwanja hivyo pia wataweza kufikisha hoja ya kuanzisha chama cha siasa cha kiislamu ili kuweza kupata chama cha kutetea na kudai haki za waislamu.

  http://www.nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsId=2611478&&Cat=1
   
Loading...