Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeifuta kesi ya Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita baada ya wakili wake kuomba iondolewe

Nenda kampunguzie Stress Isaya kwa kuukosa Umeya!
Kwani kakuambia anaishi kwa umeya?
Nyie nendeni Ikulu mkaandae sherehe ya kumng'oa Meya.
Kinondoni Sitta mlitumia mbinu, ulaghai na mabavu kumweka. Ubungo kama sio undava wa Boniphace napo mlitaka kutumia mbinu. Nyie mbona MNA tamaa ya fisi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau? Hakimu kesi ya ubunge wa Lissu nae alikataa kutoa amri ya kusimamishwa kuapishwa kwa mbunge mteule.
... Meya alikimbilia mahakamani kufungua kesi ya kung'olewa umeya wakati kimsingi (kisheria) hakuwa ameng'olewa umeya wake kwa sababu akidi na mchakato wa kumng'oa haukuwa sahihi; ni kama aliweweseka. Ndio maana mtukufu sana Hakimu akaamua "hoja za Meya hazina miguu ya kusimamia".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesi ya nini tena wakati wameshindwa kumng'oa kwa kutotimia akidi!
Ila hakuna Waziri Bogus kama Jafo, yaani upumbavu kama ule pamoja na kufoji bado hatolei tamko? DSM ni jiji kubwa hapa nchini na chokochoko za kimbumbavu namna ile zina nafasi kubwa ya kugharimu utendaji wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daud Bashite si ni boss wa Jafo ndiyo maana kafyata mkia, mawaziri wote wanamuogopa Bashite
 
Kesi ya nini tena wakati wameshindwa kumng'oa kwa kutotimia akidi!
Ila hakuna Waziri Bogus kama Jafo, yaani upumbavu kama ule pamoja na kufoji bado hatolei tamko? DSM ni jiji kubwa hapa nchini na chokochoko za kimbumbavu namna ile zina nafasi kubwa ya kugharimu utendaji wake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu hivi ulitegemea panya au fisi akemee wenzake?
 
Back
Top Bottom