Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha: Muendelezo wa kesi ya kuhoji uhalali wa muungano

huyu ni mfuasi wa sultani seyyid Jamshid aliyepo uhamishoni uingereza, wametumwa, na ni wakuwashughulikia

Mnamhusisha Sultani na mambo mabaya huku mnaziba umafia wa Nyerere na CCM yake na vibaraka wake aliowaweka na namna walivyoifisidi nchi ?? MFALME KAONDOKA HATA NYUMBA HANA, GARI HANAN , SHAMBA HANA WALA HANA MTU ALIYEMDHULUMU KWA KUMBAMBIKIZIA KESIN KUUWA AU KUMUWEKA NDANI KIUMBE YOYOTE,

Angalia mafia ya Nyerere na Gengi lake lilivyofanya,

Kuchukua wake za watu, watoto wa watu, mali za watu , mashamba, nyumba,

Anza na Karume Mkubwa

Kuoa kila siku , kuwa na nyumba za kuchukulia wanawake, kuuwa watu, kutesa watu, kuchukua nyumba za watu , kufunga watu bila sababu ma maovu mengi tu yaliyofanywa na yeye pamoja na baraza lake la vibaraka wa Nyerere

Jumbe

Kujiongezea wake, kufunga watu ovyo wakati wa kuuliwa Karume Sr., Kujijengea majumba mpaka Tanganyika , kumaliza hazina yote ya Zanzibar kwa kumfurahisha Bwana wake Laanatullahi Nyerere,

Ali Hassan Mwinyi,

Kuuwa watu kwenye maandamano ya Sofia Kawawa, kujijengea majumba kila kona na kuyakodisha, family yake maprince kuanza kupewa vyeo ,

Abdulwakil

Kufunga watu bila sababu kwa chuki tu na kuwabambikizia kesi lakini mwisho wake akashituka na kuwaachia kiti chao n

Salmini Amuri

Kuwafunga watu bila sababu kwa kuwabandikizia kesi , kuuza nchi kwa Wataliano
Biashara ya unga kuanza kwa nguvu
Kujiolea wake na kuondoa passport kwa wavamizi kuingia

Karume Jr

Kuuwa watu kwenye maandamano, kujiuzia viwanja na kujijengea mahoteli kwa maprince na princesses

Shein

Kuweka magenge ya kuwapiga wapinzani bure mitaani hata wengine kuwauwa, kuleta wavamizi na kuwafanya ndio viongozi Zanzibar , kuwa ndio hewalla kwa mvamizi kuliko vibaraka wote waliomtangulia
 
Taarifa ya kuendelea kusikilizwa kwa kesi ya Muungano katika Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha, Ombi no.9 lililowasilishwa na waombaji 40,000. linalohusiana na kuzuiliwa serikali zote mbili za Tanzania kutokufanya mabadiliko ya katiba za nchi ,kati ya Zanzibar na Tanzania.

Kutokufanyika kwa kura ya maoni juu ya suala la Muungano, kuwekewa vikwazo mbambali serikali ya Tanzania kimataifa katika nyanja mbali mbali na nchi za Afrika Mashariki, Afrika na Ulimwengu mzima.

Pamoja na mashirika ya kimataifa hadi kesi ya msingi itakapo malizika kusikilizwa na kutolewa hukumu, Ombi hili litasikilizwa mbele ya Majaji 5 siku ya Jumatano tarehe 6/6/2018 hapo Arusha saa 3:30 asubuhi. kuhusu ombi la kesi kuja kusikilizwa Zanzibar bado halijapangwa ingawa tumewasilisha marekebisho lakini mahakama italipanga kulisikiliza tena baada ya kulisikiliza ombi hili no,9.

Tunawaombeni Wazanzibari nyote tuungane kwa kulifuatilia shauri hili kwa manufaa ya nchi yetu,tafadhali sana kwa uzalendo wako ewe Mzanzibari tunahitaji mchango wako wa fikra n.k.
ili kuweza kutimiza lengo letu la kuikombowa nchi yetu katika ukoloni mambo leo wa Taifa la Tanganyika.
Tafadhali share na wengine taarifa hii.
# ZanzibarKwanza
# AjendaYaZanzibar

Habari zaidi, soma=>Wazanzibar elfu 40 wafungua kesi mahakamani kupinga muungano

View attachment 782025
Yakhe, hii kesi bado haijesha?
 
Yakhe, hii kesi bado haijesha?
Ngoja tuone
IMG-20190531-WA0001.jpeg
 
hivi hii kesi iliishiiaga wap?
 
Kila anaetofautiana kimawazo ni kibaraka ni hoja ya kitoto kabisa.Mimi ni mzanzibari na wala sikubaliano na wazo la muungano kama ulivyo sasa.
Anaefikiria znz inahitaji tanganyika zaidi naona kama anaota mchana. Sasa kwa hio nyie ni wasamaria wema ?

Wakati napitia coments nilishangwaza sana watanganyika wanavojivutia kiupande wao wanasema wanzanzibar tunawategemea wao kwa lipi mfano?? Kwanini hawataki kuiyachia huru znz wafkirie kuna nini jamaa zao wanafisha,wazee wa tanu walichoifanyia zanzibar ni kosa la jinai la kimataifa km hawajui watafute kitabu kinaitwa kwaheri ukoloni kwa heri uhuru hapo ndio watapata historia ya kweli ambayo watu wanaitafuta kuhusu zanzibar.
 
Tunaowategemea wako hivi :p:rolleyes::rolleyes::rolleyes:

BASI TUTAKUWA NI WENDA WAZIMU

1568260087698.png

1568260334370.png

1568260393411.png

1568260632905.png

Shule ya msingi KIGOMA

1568260712789.png

1568260788248.png
 
Wakati napitia coments nilishangwaza sana watanganyika wanavojivutia kiupande wao wanasema wanzanzibar tunawategemea wao kwa lipi mfano?? Kwanini hawataki kuiyachia huru znz wafkirie kuna nini jamaa zao wanafisha,wazee wa tanu walichoifanyia zanzibar ni kosa la jinai la kimataifa km hawajui watafute kitabu kinaitwa kwaheri ukoloni kwa heri uhuru hapo ndio watapata historia ya kweli ambayo watu wanaitafuta kuhusu zanzibar.
Hicho kitabu naweza kupata wapi
 
Back
Top Bottom