Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,233
- 8,779
...mna matokeo yenu mfukoni !?
Punde tuu mtaelewa nini maana ya ' Baraza la Mapinduzi'
Padri. Tangaza usimwogope Bashite uwanja wako huu, vijana wakuchangamkie
...mna matokeo yenu mfukoni !?
Punde tuu mtaelewa nini maana ya ' Baraza la Mapinduzi'
Sasa tofauti yake siioni hapo. UK kuna bendera nne lakini UN inaenda kama United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland na Union jack. Wana nyimbo tatu za Taifa lakini wakienda kama United Kingdom of great Britain and Northen Ireland wanaimba wimbo wa England. God Save the Queen. Sijaona tofauti kabisa unless ukinionyesha utendaji wa kazi ulikuaje ama kama Zanzibar haikua Autonomy kama sasa ndiyo nitaelewa.Yes huo ndio ulikuwa Muungano halal kabisa, baadaye yakaja mazingaombwe ya Tanzania
OkTaarifa ya kuendelea kusikilizwa kwa kesi ya Muungano katika Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha, Ombi no.9 lililowasilishwa na waombaji 40,000. linalohusiana na kuzuiliwa serikali zote mbili za Tanzania kutokufanya mabadiliko ya katiba za nchi ,kati ya Zanzibar na Tanzania.
Kutokufanyika kwa kura ya maoni juu ya suala la Muungano, kuwekewa vikwazo mbambali serikali ya Tanzania kimataifa katika nyanja mbali mbali na nchi za Afrika Mashariki, Afrika na Ulimwengu mzima.
Pamoja na mashirika ya kimataifa hadi kesi ya msingi itakapo malizika kusikilizwa na kutolewa hukumu, Ombi hili litasikilizwa mbele ya Majaji 5 siku ya Jumatano tarehe 6/6/2018 hapo Arusha saa 3:30 asubuhi. kuhusu ombi la kesi kuja kusikilizwa Zanzibar bado halijapangwa ingawa tumewasilisha marekebisho lakini mahakama italipanga kulisikiliza tena baada ya kulisikiliza ombi hili no,9.
Tunawaombeni Wazanzibari nyote tuungane kwa kulifuatilia shauri hili kwa manufaa ya nchi yetu,tafadhali sana kwa uzalendo wako ewe Mzanzibari tunahitaji mchango wako wa fikra n.k.
ili kuweza kutimiza lengo letu la kuikombowa nchi yetu katika ukoloni mambo leo wa Taifa la Tanganyika.
Tafadhali share na wengine taarifa hii.
# ZanzibarKwanza
# AjendaYaZanzibar
Habari zaidi, soma=>Wazanzibar elfu 40 wafungua kesi mahakamani kupinga muungano
View attachment 782025
Sasa tofauti yake siioni hapo. UK kuna bendera nne lakini UN inaenda kama United Kingdom of Great Britain and Ireland na Union jack. Wana nyimbo tatu za Taifa lakini wakienda kama United Kingdom of great Britain and Ireland wanaimba wimbo wa England. God Save the Queen. Sijaona tofauti kabisa unless ukinionyesha utendaji wa kazi ulikuaje ama kama Zanzibar haikua Autonomy kama sasa ndiyo nitaelewa.
Mimi kama mzanzibari naona hasara tupu kuanzia identity/utambulisho hadi uchumi .... labda utuekeze hizo faida utujuze mkuuUmoja Mshikamano Udugu uliodumu na unaoendelea kuwepo ni nguzo kubwa isiopaswa kung`olewa pasipo kufiri 1)hasara za kuuvunja Muungano
2)faida za kuuvunja Muungano ,@)ikiwa hasara zitaonekana nikubwa kuliko faida au kinyume chake ,yote kwa yote tukumbuke Kuna vitu vijenga ni ghalama ndogo ila kuviondoa ni ghalama kubwa Sana hivyo ukijadri swala la Muungano lazima tafakuri pana isio na mhemko itawale ,kwangu yapo machache hayako sawa kulingana na umri wa Muungano Cha msingi ndio yatazamwe yaboreshe ili kwendana na nyakati zilizopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Muungano uliwapo kutokana na shinikizo la mabeberu wa magharibi
Faida ni kama hizo ulizoziweka Identity utambulisho hadi uchumiMimi kama mzanzibari naona hasara tupu kuanzia identity/utambulisho hadi uchumi .... labda utuekeze hizo faida utujuze mkuu
Inatuhusuuu?? waachieni matatizo yao wayamalize wenyewe.. tangu mmiwashikilia miaka kibawwo mpaka leo hii hakuna amani ya kweli. waachieni wawe huru.. mmiwang'ang'ania tuuuuuWazanzibar sikuzote wana akili za kushikiwa, Wao wanafikiri ni kujitenga tu ndio suluhisho..
Hawajui kuna watanganyika wengi Sana wanaoishi Zanzibar, na ukishaanza ubaguzi huo baadae hawataishia hapo, watakuta kuna wapemba na waunguja, kutokana na ubaguzi waliouanzisha wataanza kubaguana tena wenyewe kwa wenyewe na mambo ya Somalia ndipo yatakapoanzia hapo. Civil war na majanga kibao.. Kinachowafanya wajiite wao ni wazanzibar si kingine ni muungano tu.. Nje ya muungano kuna wao wapemba sisi waunguja
hovyooooooo
Sidhani kama unaujua huu Muungano nikaamanisha vitu vya muungano na visivyo vya Muungano.Muungano wa UK kuna mambo ya sio kuwa ya muungano, na kuna mambo ya muungano, sasa kwetu hakuna kisicho cha muungano, tanganyika haipo, sasa mambo ya sio kuwa ya muungano kwa tanganyika yanasimamiwa na serikali ipi?
Jibu ni kwamba mambo ya sio kuwa ya muungano yanasimamiwa na Tanzania, hivyo huchukua status ya united Republic, na sio Republic of tanganyika, kwa maana hio tanganyika inachukua mamlaka ya zanzibar katika mambo ya sio ya muungano.
Tanganyika ikitaka mikopo huwa inajiamulia tu, bila ya kupata idhini, lakini zanzibar lazima ipate idhini.
Zanzibar ina population 1.5mi wakati tanganyika 45 m au zaidi, ardhi pia zanzibar ni ndogo, kwa vile zanzibar ina serikali yake na watu wake wachache na ardhi, ina kila sababu ya kuwa na mambo yake ya Ndani including uraia.
Michezo sio suala la muungano, lakini zanzibar imekataliwa fifa na caf kuwa mwanachama kwa sababu tanganyika umetumia status ya muungano katika kuomba u wanachama. Hapo mnatunyima haki yetu.
Kuna mambo ya kiuchumi zanzibar haikupasa kuingia kwenye muungano kutokana ndio moyo wa zanzibar, hakuna resources nyengine, tanganyika mna gold, gas, oil, lands na n. K
Zanzibar haina lolote zaidi ya kafuuu.
UK katika fifa kila nchi ina jiwakilisha wenyewe. Halafu UK muungano wao upo wa uwazi, hakuna mkubwa wala mdogo na ni huru kuhoji hata kuvunja.
Tanzania mpaka Leo sijui miaka mi ngapi Bank ya pamoj ipo kikatiba haijafunguliwa, zanzibar imetoa asilimia 11 Bank kuu inapata asimilia 4.5 tu na hizo kwa kukabana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningeshangaa kama usingenipa like unasafirisha Hata biashara ya View attachment 1005106 kwenda makunduchi kuna soko kubwa huko hasa mbuguma ile mnuso tu wa gongo wanapagawa
Sent using Jamii Forums mobile app[/QU
Ningeshangaa kama usingenipa like unasafirisha Hata biashara ya View attachment 1005106 kwenda makunduchi kuna soko kubwa huko hasa mbuguma ile mnuso tu wa gongo wanapagawa
Sent using Jamii Forums mobile app
wee ukishindwa jitetee ni miratul rasul utaachiwa
MZEE WAKO WA KANISA , KIFAA CHAKE KIMESHIKWA NA UNGA