Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha: Muendelezo wa kesi ya kuhoji uhalali wa muungano

Muungano ukivunjika tu' tunamrejeshea Jamsheed nchi yake. Mtabaki mnashangilia harusi ya mbwa !

Hapa si pahala pa kuitafuta Ile ezekiel 23:20 aliyokuambia huyo unayemuabudu Shoga Cesare Borgia , kaitafute huko kanisani unakoji socialize

Si ndio Siri ya Kanisa Katoliki hiyo
Umetoroka lini Mirembe?? Hata sembe ikicheleweshwa teja huweweseka. Ni wapi pametajwa Kanisa Katoliki hapa?? Kwanini msiliunganishe miongoni mwa washitakiwa kwenye hiyo kesi. Hii ndo inadhihirisha mzigo Tanganyika inao beba. Iko siku mtajitoa ndo muone uchungu wa kutembea nje ya mbeleko.
 
Nilitoroka siku Laanatullahi Nyerere alipotuvamia Chini ya maelekezo ya Kanisa Katoliki. Kweli ni mzigo maana wengine mnatukamata na kutubambikizia kesi za ugaidi wengine mnatuteka, wengine mnatutupa Coco beach huku Kanisa lako likifurahia pamoja na wewe Padri
 
uwe unatafakari kabla ya kuvua bikini yako.. ukisubiria upako.je vipi uganda na kenya burundi malawi msumbiji zambia tulizoungana nazo sio nchi moja?
Nnani kakwambia zimeungana? hakuna nchi inayoitwa zanzibar wala hakuna nchi inayoitwa tanganyika,hapa tuna Tanzania tuu!!
 
Nilitoroka siku Laanatullahi Nyerere alipotuvamia Chini ya maelekezo ya Kanisa Katoliki. Kweli ni mzigo maana wengine mnatukamata na kutubambikizia kesi za ugaidi wengine mnatuteka, wengine mnatutupa Coco beach huku Kanisa lako likifurahia pamoja na wewe Padri
Simjitoe ? Kha...mna uchuro balaa
 
Taarifa ya kuendelea kusikilizwa kwa kesi ya Muungano katika Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha, Ombi no.9 lililowasilishwa na waombaji 40,000. linalohusiana na kuzuiliwa serikali zote mbili za Tanzania kutokufanya mabadiliko ya katiba za nchi ,kati ya Zanzibar na Tanzania.

Kutokufanyika kwa kura ya maoni juu ya suala la Muungano, kuwekewa vikwazo mbambali serikali ya Tanzania kimataifa katika nyanja mbali mbali na nchi za Afrika Mashariki, Afrika na Ulimwengu mzima.

Pamoja na mashirika ya kimataifa hadi kesi ya msingi itakapo malizika kusikilizwa na kutolewa hukumu, Ombi hili litasikilizwa mbele ya Majaji 5 siku ya Jumatano tarehe 6/6/2018 hapo Arusha saa 3:30 asubuhi. kuhusu ombi la kesi kuja kusikilizwa Zanzibar bado halijapangwa ingawa tumewasilisha marekebisho lakini mahakama italipanga kulisikiliza tena baada ya kulisikiliza ombi hili no,9.

Tunawaombeni Wazanzibari nyote tuungane kwa kulifuatilia shauri hili kwa manufaa ya nchi yetu,tafadhali sana kwa uzalendo wako ewe Mzanzibari tunahitaji mchango wako wa fikra n.k.
ili kuweza kutimiza lengo letu la kuikombowa nchi yetu katika ukoloni mambo leo wa Taifa la Tanganyika.
Tafadhali share na wengine taarifa hii.
# ZanzibarKwanza
# AjendaYaZanzibar

Habari zaidi, soma=>Wazanzibar elfu 40 wafungua kesi mahakamani kupinga muungano

View attachment 782025
Mmmh
 
Zanzibar hata kwa vita hawawezi kujitoa kwenye muungano.
Unafuu pekee ni wao kubaki na serikali yao hiyo nje na hapo wanataka tuwape hadhi ya mkoa au wilaya kama ukerewe tu.

Hatutaki watufikishe huko
Hii nzuri sana,eti ntu kituchake asipewe kisa ¡!!????? Tanganyika dreams ni kikalia zanzibar forever,na huku Zanzibr dreams ni kuitawala tena Tanganyika. Time will tell.
Aluta continua Zanzibr freedom soon.
 
Zanzibar should be left free to govern their destiny, however they should not ignore their past history. They are doing it now because they are in the Union out side there they could think otherwise. Let them become Singapore or Dubai that is what they dream to be.
 
Hii nzuri sana,eti ntu kituchake asipewe kisa ¡!!????? Tanganyika dreams ni kikalia zanzibar forever,na huku Zanzibr dreams ni kuitawala tena Tanganyika. Time will tell.
Aluta continua Zanzibr freedom soon.
Kuitawala Tanganyika no day light dreamer, there is a lot to learn from small Ireland states like Comoro, Ushelisheli n.k. Big Nations are planning to come together small nations like Zanzibar they want to go apart, I do not understand this fake idea.
 
Taarifa ya kuendelea kusikilizwa kwa kesi ya Muungano katika Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha, Ombi no.9 lililowasilishwa na waombaji 40,000. linalohusiana na kuzuiliwa serikali zote mbili za Tanzania kutokufanya mabadiliko ya katiba za nchi ,kati ya Zanzibar na Tanzania.

Kutokufanyika kwa kura ya maoni juu ya suala la Muungano, kuwekewa vikwazo mbambali serikali ya Tanzania kimataifa katika nyanja mbali mbali na nchi za Afrika Mashariki, Afrika na Ulimwengu mzima.

Pamoja na mashirika ya kimataifa hadi kesi ya msingi itakapo malizika kusikilizwa na kutolewa hukumu, Ombi hili litasikilizwa mbele ya Majaji 5 siku ya Jumatano tarehe 6/6/2018 hapo Arusha saa 3:30 asubuhi. kuhusu ombi la kesi kuja kusikilizwa Zanzibar bado halijapangwa ingawa tumewasilisha marekebisho lakini mahakama italipanga kulisikiliza tena baada ya kulisikiliza ombi hili no,9.

Tunawaombeni Wazanzibari nyote tuungane kwa kulifuatilia shauri hili kwa manufaa ya nchi yetu,tafadhali sana kwa uzalendo wako ewe Mzanzibari tunahitaji mchango wako wa fikra n.k.
ili kuweza kutimiza lengo letu la kuikombowa nchi yetu katika ukoloni mambo leo wa Taifa la Tanganyika.
Tafadhali share na wengine taarifa hii.
# ZanzibarKwanza
# AjendaYaZanzibar

Habari zaidi, soma=>Wazanzibar elfu 40 wafungua kesi mahakamani kupinga muungano

View attachment 782025
Hivi pemba na Unguja zilungana lini? tukishamaliza kujitoa ktk muungano tutaanza kuhoji watu wa pemba na unguja waliungana lini? baada ya hapo wapemba watataka kujitenga kutoka unguja maana wanadai wananyanyaswa sana.Wakishajitoa then tutawageukia waarabu na kuwahoji lini wamekuwa waafrica,hasa wazanzibar? tutataka kuwafukuza warudi kwao watuachie mali zetu! tukishamaliza tutaanza kuangalia makabira sasa,kwamba wewe sio asili yako zanzibar rudi kwenu,hatabaki mtu salama!
Mataifa yote makubwa now yanaungana ila wanaume wengine wa ajabu kabisa wanapigania kujitenga,hakuna nchi iliyosimama yenyewe na ikafanikiwa,kwangu mimi naona tupambane kurekebisha kasoro za muungano ambapo hakuna doubt kuwa zipo nyingi tuuu lakin sio muumini wa kuvunjika kwa Muungano! Mungu ibariki Tanzania,Mungu ubariki Muungano
 
Hahaha watanganyika mnafurahisha sana chokochoko zenu, hoja ni kwamba wazenji hatuutaki muungano msiforce
 
Bado case inaendelea, in arudi tena mahamani 12 November 2018 insha Allah
_20181102_093045.JPG
 
Wakati unaandika hii kitu ulikuwa umeshakula?
hakuna anayesapoti kuvunjika kwa muungano hasa wazenji kwa kuwa wao ndo wanaitegemea Tanzania bara kwa mambo mengi tu hiyo mara nyingi ni mihemko ya watu wachache vibaraka wa sultan anayetaka kuichukua tena Zanzibar kwani haamini kama nchi kachukuliwa kizembe namna ile..
 
Katika vitu ambavyo CCM itabeba lawama ni kuja kufa kwa Muungano huu.
Na kati vitu vilivyo ni sikitisha ni CDM kuja na sera ya Serikali Tatu katika andishi lao la maboresho ya Sera yao.
Kwa mtazamo wangu Sera ya CDM ya Majimbo ilifaa iendeane na sera ya Serikali moja ya JTanzania.
Wakati huo Wazanzibar sasa wakubali kupunzisha Serikali yao ya Mapundizi ya Zanzibar na tuingie kwenye mfumo wa Majimbo na Haya majimbo ya yana Nguvu za Kisheria kupitia Katiba kwenye baadhi ya Mambo huku tukiwa na Serikali Kuu. Nadhani Mfumo huu utakuwa kama wa USA.
Kwa njia hii tutavuka salama na kujenga Jamii imara.
 
Back
Top Bottom