aleesha
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 775
- 1,117
Taarifa ya kuendelea kusikilizwa kwa kesi ya Muungano katika Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha, Ombi no.9 lililowasilishwa na waombaji 40,000. linalohusiana na kuzuiliwa serikali zote mbili za Tanzania kutokufanya mabadiliko ya katiba za nchi ,kati ya Zanzibar na Tanzania.
Kutokufanyika kwa kura ya maoni juu ya suala la Muungano, kuwekewa vikwazo mbambali serikali ya Tanzania kimataifa katika nyanja mbali mbali na nchi za Afrika Mashariki, Afrika na Ulimwengu mzima.
Pamoja na mashirika ya kimataifa hadi kesi ya msingi itakapo malizika kusikilizwa na kutolewa hukumu, Ombi hili litasikilizwa mbele ya Majaji 5 siku ya Jumatano tarehe 6/6/2018 hapo Arusha saa 3:30 asubuhi. kuhusu ombi la kesi kuja kusikilizwa Zanzibar bado halijapangwa ingawa tumewasilisha marekebisho lakini mahakama italipanga kulisikiliza tena baada ya kulisikiliza ombi hili no,9.
Tunawaombeni Wazanzibari nyote tuungane kwa kulifuatilia shauri hili kwa manufaa ya nchi yetu,tafadhali sana kwa uzalendo wako ewe Mzanzibari tunahitaji mchango wako wa fikra n.k.
ili kuweza kutimiza lengo letu la kuikombowa nchi yetu katika ukoloni mambo leo wa Taifa la Tanganyika.
Tafadhali share na wengine taarifa hii.
# ZanzibarKwanza
# AjendaYaZanzibar
Habari zaidi, soma=>Wazanzibar elfu 40 wafungua kesi mahakamani kupinga muungano