Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha: Muendelezo wa kesi ya kuhoji uhalali wa muungano

aleesha

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
775
1,117
Taarifa ya kuendelea kusikilizwa kwa kesi ya Muungano katika Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha, Ombi no.9 lililowasilishwa na waombaji 40,000. linalohusiana na kuzuiliwa serikali zote mbili za Tanzania kutokufanya mabadiliko ya katiba za nchi ,kati ya Zanzibar na Tanzania.

Kutokufanyika kwa kura ya maoni juu ya suala la Muungano, kuwekewa vikwazo mbambali serikali ya Tanzania kimataifa katika nyanja mbali mbali na nchi za Afrika Mashariki, Afrika na Ulimwengu mzima.

Pamoja na mashirika ya kimataifa hadi kesi ya msingi itakapo malizika kusikilizwa na kutolewa hukumu, Ombi hili litasikilizwa mbele ya Majaji 5 siku ya Jumatano tarehe 6/6/2018 hapo Arusha saa 3:30 asubuhi. kuhusu ombi la kesi kuja kusikilizwa Zanzibar bado halijapangwa ingawa tumewasilisha marekebisho lakini mahakama italipanga kulisikiliza tena baada ya kulisikiliza ombi hili no,9.

Tunawaombeni Wazanzibari nyote tuungane kwa kulifuatilia shauri hili kwa manufaa ya nchi yetu,tafadhali sana kwa uzalendo wako ewe Mzanzibari tunahitaji mchango wako wa fikra n.k.
ili kuweza kutimiza lengo letu la kuikombowa nchi yetu katika ukoloni mambo leo wa Taifa la Tanganyika.
Tafadhali share na wengine taarifa hii.
# ZanzibarKwanza
# AjendaYaZanzibar

Habari zaidi, soma=>Wazanzibar elfu 40 wafungua kesi mahakamani kupinga muungano

32954335_1128680623938448_4712255074254979072_n.jpg
 
Taarifa ya kuendelea kusikilizwa kwa kesi ya Muungano katika Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha, Ombi no.9 lililowasilishwa na waombaji 40,000. linalohusiana na kuzuiliwa serikali zote mbili za Tanzania kutokufanya mabadiliko ya katiba za nchi ,kati ya Zanzibar na Tanzania.

Kutokufanyika kwa kura ya maoni juu ya suala la Muungano, kuwekewa vikwazo mbambali serikali ya Tanzania kimataifa katika nyanja mbali mbali na nchi za Afrika Mashariki, Afrika na Ulimwengu mzima.

Pamoja na mashirika ya kimataifa hadi kesi ya msingi itakapo malizika kusikilizwa na kutolewa hukumu, Ombi hili litasikilizwa mbele ya Majaji 5 siku ya Jumatano tarehe 6/6/2018 hapo Arusha saa 3:30 asubuhi. kuhusu ombi la kesi kuja kusikilizwa Zanzibar bado halijapangwa ingawa tumewasilisha marekebisho lakini mahakama italipanga kulisikiliza tena baada ya kulisikiliza ombi hili no,9.

Tunawaombeni Wazanzibari nyote tuungane kwa kulifuatilia shauri hili kwa manufaa ya nchi yetu,tafadhali sana kwa uzalendo wako ewe Mzanzibari tunahitaji mchango wako wa fikra n.k.
ili kuweza kutimiza lengo letu la kuikombowa nchi yetu katika ukoloni mambo leo wa Taifa la Tanganyika.
Tafadhali share na wengine taarifa hii.
# ZanzibarKwanza
# AjendaYaZanzibar

View attachment 782025
Vipi imepigwa ngwala au
 
......kuwekewa vikwazo mbali mbali kimataifa !?
Yaani kisa nyie m'mefunguwa kesi, basi watu wengine wataabike ?!....damnnn !
 
hakuna anayesapoti kuvunjika kwa muungano hasa wazenji kwa kuwa wao ndo wanaitegemea Tanzania bara kwa mambo mengi tu hiyo mara nyingi ni mihemko ya watu wachache vibaraka wa sultan anayetaka kuichukua tena Zanzibar kwani haamini kama nchi kachukuliwa kizembe namna ile..
 
hakuna anayesapoti kuvunjika kwa muungano hasa wazenji kwa kuwa wao ndo wanaitegemea Tanzania bara kwa mambo mengi tu hiyo mara nyingi ni mihemko ya watu wachache vibaraka wa sultan kutaka anayetaka kuichukua tena Zanzibar kwani haamini kama nchi kachukuliwa kizembe namba ile..
mbona unatutusi. Hebu tumia busara.
 
hakuna anayesapoti kuvunjika kwa muungano hasa wazenji kwa kuwa wao ndo wanaitegemea Tanzania bara kwa mambo mengi tu hiyo mara nyingi ni mihemko ya watu wachache vibaraka wa sultan anayetaka kuichukua tena Zanzibar kwani haamini kama nchi kachukuliwa kizembe namna ile..
Maneno hayo ungekuja kuyasema huku visiwani lkn kwa vile uko tanganyika mdomo ni mali yako mkuu ZANZIBAR KWANZA MIHEMKO NA USANII BAADAE
 
Back
Top Bottom