Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha: Muendelezo wa kesi ya kuhoji uhalali wa muungano

Lakin upande wa shilling zanzibar inaitwala Tanganyika yaani watu wana bendera wimbo Rais wa Jamhuri ya muungano wakati wa maadhimisho yuko chini ya rais wa zanzibar wana bunge Lao na maamuzi Yao biashara za vitu vinaingizwa huku hakuna mamlaka kwmili inayo inakosa kuachiwa tu Lakin kulalamika utadhani sisi atuelewagi ngekuwa mimi nshawaachia yaani mnakuja huku mnanunua maeneo lakini wa Bara akija kununua nongwa hii ngozi nyeusi
 
Taarifa ya kuendelea kusikilizwa kwa kesi ya Muungano katika Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha, Ombi no.9 lililowasilishwa na waombaji 40,000. linalohusiana na kuzuiliwa serikali zote mbili za Tanzania kutokufanya mabadiliko ya katiba za nchi ,kati ya Zanzibar na Tanzania.

Kutokufanyika kwa kura ya maoni juu ya suala la Muungano, kuwekewa vikwazo mbambali serikali ya Tanzania kimataifa katika nyanja mbali mbali na nchi za Afrika Mashariki, Afrika na Ulimwengu mzima.

Pamoja na mashirika ya kimataifa hadi kesi ya msingi itakapo malizika kusikilizwa na kutolewa hukumu, Ombi hili litasikilizwa mbele ya Majaji 5 siku ya Jumatano tarehe 6/6/2018 hapo Arusha saa 3:30 asubuhi. kuhusu ombi la kesi kuja kusikilizwa Zanzibar bado halijapangwa ingawa tumewasilisha marekebisho lakini mahakama italipanga kulisikiliza tena baada ya kulisikiliza ombi hili no,9.

Tunawaombeni Wazanzibari nyote tuungane kwa kulifuatilia shauri hili kwa manufaa ya nchi yetu,tafadhali sana kwa uzalendo wako ewe Mzanzibari tunahitaji mchango wako wa fikra n.k.
ili kuweza kutimiza lengo letu la kuikombowa nchi yetu katika ukoloni mambo leo wa Taifa la Tanganyika.
Tafadhali share na wengine taarifa hii.
# ZanzibarKwanza
# AjendaYaZanzibar

Habari zaidi, soma=>Wazanzibar elfu 40 wafungua kesi mahakamani kupinga muungano

View attachment 782025
 
Kila anaetofautiana kimawazo ni kibaraka ni hoja ya kitoto kabisa.Mimi ni mzanzibari na wala sikubaliano na wazo la muungano kama ulivyo sasa.
Anaefikiria znz inahitaji tanganyika zaidi naona kama anaota mchana. Sasa kwa hio nyie ni wasamaria wema ?
 
hakuna anayesapoti kuvunjika kwa muungano hasa wazenji kwa kuwa wao ndo wanaitegemea Tanzania bara kwa mambo mengi tu hiyo mara nyingi ni mihemko ya watu wachache vibaraka wa sultan anayetaka kuichukua tena Zanzibar kwani haamini kama nchi kachukuliwa kizembe namna ile..
 
Wazanzibar sikuzote wana akili za kushikiwa, Wao wanafikiri ni kujitenga tu ndio suluhisho..

Hawajui kuna watanganyika wengi Sana wanaoishi Zanzibar, na ukishaanza ubaguzi huo baadae hawataishia hapo, watakuta kuna wapemba na waunguja, kutokana na ubaguzi waliouanzisha wataanza kubaguana tena wenyewe kwa wenyewe na mambo ya Somalia ndipo yatakapoanzia hapo. Civil war na majanga kibao.. Kinachowafanya wajiite wao ni wazanzibar si kingine ni muungano tu.. Nje ya muungano kuna wao wapemba sisi waunguja
 
Ningekujibu kama ulivyo uliza

ni kweli ila ile kitu ya Mwalabu wa Pemba imekulegeza hata kujibu huwezi



1538279049379.png
 
Kwann wasiwape wazanzibar Uhuru wao Muungano una tija gani kwa sasa,zaidi ulikuwa kwa manufaa kati ya mwalimu na Abeid na kwa kizazi kilichopita.hali kila upande una Sheria zake za kodi.
 
Kama unavyougua wewe Mtanganyika kwa Zanzibar huku nchi yako inaangamizwa na Kanisa Katoliki CCM
Naona unawashwa washwa tu na hujaona pele lipo wapi.Umasikini wa kuomba omba kwa Mwarabu unakusumbua sana.
 
Naona unawashwa washwa tu na hujaona pele lipo wapi.Umasikini wa kuomba omba kwa Mwarabu unakusumbua sana.

Wewe umelishaliona pele liko wapi na ndio ukampa Askofu wako alikune na yaelekea umeshapata hicho kitu unachikihitaji na ndio ukajibadilisha id


1538841705649.png
 
Back
Top Bottom