mcomunisti halisi
Senior Member
- Jan 17, 2017
- 103
- 328
Choe Myong-Bok alitoroka utawala mwaka 1999 na amekuwa akiishi kwa siri nchini Urusi.
Choe Myong-Bok alikuwa anafanya kazi ngumu Siberia ''jimbo la urusi'',wafungwa nchini North korea huwa wanapelekwa kufanya kazi ngumu Siberia na pesa inayopatikana huingizwa serikalini lakini Choe Myong-Bok alifanikiwa kuwatoroka walinzi na kukimbilia St petersburg Urusi mahala ambapo amekuwa akiishi kwa takriban miaka 20 bila kugundulika,
mamlaka ya Urusi wameweza kumkamata Choe Myong-Bok na mahakama imeamuru arudishwe North Korea
serikali ya Putin iliingia makubaliano na Kim Jung Un mwaka 2014 kuwa raia yeyote baina ya nchi hizo mbili atakayekutwa anaishi kimagendo basi arudishwe katika nchi yake.
''Endapo akiwa na bahati Choe atapelekwa gerezani lakini ni kama vile inaonyesha atauliwa''-alisema Said Ken Kato,mkurugenzi wa haki za binaadamu Asia
''Hii ni aina ya adhabu ambayo waasi hupata na huwa ni mfano kwa wengine.
''Endapo utawala wa Kim hautofanya chochote basi ma alfu ya wafanyakazi nje ya nchi wata asi ili wapate maisha bora
''Naimani mamlaka ya Urusi ambayo wanadai kuwa wao ni ardhi ya wafanyakazi duniani itatambua majukumu ya huyu mfanyakazi na kuokoa maisha yake.-