Mahakama nchini China yapiga marufuku simu za iphone kuuzwa nchini humo

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,987
17,860
China yarudisha mapigo, yapiga marufuku simu za iPhone. Kampuni ya Apple ya Marekani imepata pigo kubwa baada ya Mahakama moja ya China kupiga marufuku uuzaji wa simu za iPhone nchini Uchina.

Hatua hiyo ni matokeo ya kesi iliyowasilishwa mahakamani mwishoni mwa mwaka jana na kampuni ya Qualcomm dhidi ya Apple ikiituhumu kuwa imeiba teknolojia yake.

Kwa mujibu wa uamuzi wa mahakama hiyo, simu zote za rununu za iPhone zilizozalishwa kuanzia mwaka 2015 hadi iPhone X zimepigwa marufuku kuuzwa nchini China.

Hii ni licha ya kwamba, China inahesabiwa kuwa miongoni mwa masoko makubwa zaidi la simu za rununu za iPhone duniani.
Ripoti zinasema hisa za kampuni ya Apple ya Marekani zilishuka chini kwa asilimia 2 mapema siku ya Jumatatu.

Hukumu hiyo ya Mahakama ya China imetolewa wakati dunia ikiendelea kushuhudia vita kali ya kibiashara baina ya Marekani na China.

Uamuzi huo pia umechukuliwa baada ya Marekani kuiomba Canada impeleke Washington Mkurugenzi wa Masuala ya Fedha wa kampuni ya teknolojia ya mawasiliano ya Huawei, Meng Wanzhou anayezuiliwa nchini humo kwa kisingizio cha kukiuka vikwazo vya Marekani.

Wanzhou alikamatwa Disemba Mosi kufuatia ombi la Marekani wakati akiwa katika uwanja wa ndege mjini Vancouver, Canada.

Meng ambaye ni bintiye mwanzilishi na mmiliki wa kampuni ya Huawei, Ren Zhengfei, anatajwa kuwa mrithi mtarajiwa wa msimamizi wa shirika hilo. Alikamatwa kwa tuhuma kuwa shirika la Huawei, kupitia shirika lingine, limekiuka vikwazo vya Marekani kwa kuiuzia Iran vifaa vya mawasiliano.

Mapema leo Canada imemwachia huru Meng Wanzhou kwa dhamana. China imeitahadharisha Canada isimkabidhi kwa Marekani la sivyo itakabiliwa na hatua kali.

==================

A Chinese court has banned the sale and import of most iPhone models in a stunning decision amid the trade war between the United States and China.

The ban does not cover the new iPhone XS, iPhone XS Plus or iPhone XR, which were not yet available when Qualcomm filed its lawsuit. The phones covered by the ban make up about 10% to 15% of current iPhone sales in China, according to Daniel Ives, analyst at Wedbush Securities.

The court granted a pair of preliminary injunctions requested by Qualcomm, an American microchip maker. Qualcomm claims that Apple violates two of its patents in the iPhone 6S, iPhone 6S Plus, iPhone 7, iPhone 7 Plus, iPhone 8, iPhone 8 Plus and iPhone X. The patents allow people to edit and resize photos on a phone and to manage apps by using a touchscreen, according to Qualcomm.

[https://cdn]

Trump wants iPhones made in the US. That could be bad news for Americans

The practical effect of the injunction is not yet clear. The ruling was announced publicly Monday but put into effect last week, but Apple said in a statement that all iPhone models remain available in China. The company was still selling some of the models in question, like the iPhone 7 and iPhone 8, on its China website on Tuesday.

Qualcomm said in a statement that it would seek to enforce the injunction.

"If Apple is violating the orders, Qualcomm will seek enforcement of the orders through enforcement tribunals that are part of the Chinese court system," said Don Rosenberg, general counsel for Qualcomm.

Apple has accused Qualcomm of playing dirty tricks, including asserting a patent that had already been invalidated by international courts, and other patents that it had never before used. Apple said it will pursue a legal response in court.

"Qualcomm's effort to ban our products is another desperate move by a company whose illegal practices are under investigation by regulators around the world," Apple said.

Apple on Monday filed a request for the court to reconsider its decision. Qualcomm applauded the ruling, saying Apple owes it money for using its technology.

"We deeply value our relationships with customers, rarely resorting to the courts for assistance, but we also have an abiding belief in the need to protect intellectual property rights," said Rosenberg. "Apple continues to benefit from our intellectual property while refusing to compensate us."

Investors were mostly unmoved. Apple's (AAPL) stock closed up nearly 1% Monday. Qualcomm's (QCOM) stock rose 2%.

Shock ruling adds to threat of trade war escalation

The ruling was a surprise. Product injunctions are rarely granted, and China was widely expected to reject Qualcomm's request for a ban.

[https://cdn]

Huawei exec's arrest opens a new front in the US-China trade war

Although it's impossible to know whether politics played a part in the decision, China and the United States are embroiled in a tit-for-tat trade war that threatens to boil over. Technology is at the heart of the clash between the two countries.

Days after President Donald Trump and President Xi Jinping agreed on a 90-day trade truce, Canada announced that it is holding for extradition to the US the chief financial officer of Huawei, China's biggest telecommunications company. A bail hearing for the Huawei CFO, Meng Wanzhou, continues Tuesday.

If the countries can't come to terms on a lasting agreement by the end of the 90-day window, Trump has threatened to impose tariffs on essentially all Chinese exports to the United States that are not already subject to import taxes.

Global battle between tech giants

Apple and Qualcomm are suing one another in courts across the world. Billions of dollars are at stake, and each side has claimed some victories.

[https://cdn]

Trump says China is now open to Qualcomm-NXP deal. But it's too late

In 2017, Apple sued Qualcommfor $1 billion after the chipmaker stopped paying for the exclusive right to put its chips in iPhones. Qualcomm withheld its payments after the European Union began investigating them. The EU ultimately deemed the payments illegal, and In January 2018, the European Commission ordered Qualcomm to pay a $1.2 billion fine over the issue.

Apple and Qualcomm are also suing one another in several separate patent disputes. Qualcomm has asked a US federal judge to ban the sale of iPhones in one case. In June, a judge in the International Trade Commission found that Apple had violated one of Qualcomm's patents related to battery-saving technology.

In July, Qualcomm said Apple would no longer include its modems in iPhones. Qualcomm cut its profit forecast after the announcement.
 
Inapendeza na kufurahisha pale mafahari wawili wanapopigana.

Uchina, Urusi, mapankini (NK),Iran, Venezuela, Thailand ni lazima wamshikishe adabu marekani amezoea kukung'uta vumbi lake la ubeberu zizini kwa wenzie.

Muda umewadia.
Mimi ni pro Uchina na Urusi and Co.
 
China yarudisha mapigo, yapiga marufuku simu za iPhone
Kampuni ya Apple ya Marekani imepata pigo kubwa baada ya mahakama moja ya China kupiga marufuku uuzaji wa simu za iPhone nchini Uchina.
Hatua hiyo ni matokeo ya kesi iliyowasilishwa mahakamani mwishoni mwa mwaka jana na kampuni ya Qualcomm dhidi ya Apple ikiituhumu kuwa imeiba teknolojia yake. Kwa mujibu wa uamuzi wa mahakama hiyo, simu zote za rununu za iPhone zilizozalishwa kuanzia mwaka 2015 hadi iPhone X zimepigwa marufuku kuuzwa nchini China. Hii ni licha ya kwamba, China inahesabiwa kuwa miongoni mwa masoko makubwa zaidi la simu za rununu za iPhone duniani.
Ripoti zinasema hisa za kampuni ya Apple ya Marekani zilishuka chini kwa asilimia 2 mapema siku ya Jumatatu.
Hukumu hiyo ya Mahakama ya China imetolewa wakati dunia ikiendelea kushuhudia vita kali ya kibiashara baina ya Marekani na China. Uamuzi huo pia umechukuliwa baada ya Marekani kuiomba Canada impeleke Washington Mkurugenzi wa Masuala ya Fedha wa kampuni ya teknolojia ya mawasiliano ya Huawei, Meng Wanzhou anayezuiliwa nchini humo kwa kisingizio cha kukiuka vikwazo vya Marekani.
Wanzhou alikamatwa Disemba Mosi kufuatia ombi la Marekani wakati akiwa katika uwanja wa ndege mjini Vancouver, Canada. Meng ambaye ni bintiye mwanzilishi na mmiliki wa kampuni ya Huawei, Ren Zhengfei, anatajwa kuwa mrithi mtarajiwa wa msimamizi wa shirika hilo. Alikamatwa kwa tuhuma kuwa shirika la Huawei, kupitia shirika lingine, limekiuka vikwazo vya Marekani kwa kuiuzia Iran vifaa vya mawasiliano.
Mapema leo Canada imemwachia huru Meng Wanzhou kwa dhamana. China imeitahadharisha Canada isimkabidhi kwa Marekani la sivyo itakabiliwa na hatua kali.
Labda nisema kuwa China hakuna mahakama! mahakama in the real sense of judicial system as known to the world standards. Kule kesi ya mauaji inatumia nusu saa, mtu anahukumiwa and in the next ten minutes amenyongwa!
 
Labda nisema kuwa China hakuna mahakama! mahakama in the real sense of judicial system as known to the world standards. Kule kesi ya mauaji inatumia nusu saa, mtu anahukumiwa and in the next ten minutes amenyongwa!
Mkuu So unachomaanisha

Ni kwamba ndani ya nusu saa upelelezi/ investigation ya case ya mauaji inakua ishafanyika na wameshapata majibu yanayo tosheleza na kuridhisha mpaka mtu anyongwe???
 
Qualcomm says, Apple still selling Iphones in China

Qualcomm says Apple continues to sell iPhones in China, breaching a recent court order.

The chipmaker has presented evidence to the court in the form of a video showing iPhones being unboxed and sold.

Earlier this week, a court in China granted Qualcomm an injunction against Apple, banning sales of nearly all iPhones in China. But Apple pushed back, saying the ban only applies to devices that run on an older operating system. iPhones currently run on the iOS 12 version of software. Qualcomm is awaiting word on whether the court plans to enforce the injunction.

Apple had no comment on Wednesday. On Monday it said, "Qualcomm's effort to ban our products is another desperate move by a company whose illegal practices are under investigation by regulators around the world."

The court decision related to two Qualcomm patents that enable users to adjust and reformat photos and manage applications using a touch screen when viewing an navigating apps on their phones.
 
Labda nisema kuwa China hakuna mahakama! mahakama in the real sense of judicial system as known to the world standards. Kule kesi ya mauaji inatumia nusu saa, mtu anahukumiwa and in the next ten minutes amenyongwa!
Tena sijui neno judge wametoa wap manake nijuacho, chief wa eneo anakuja hata saa tano usiku akiwa amelewa pombe zitakavyomtuma ndio jinsi hukumu itakavyokua
 
Back
Top Bottom