Mahakama maalum ya makosa ya jinai tanzania(ictt) kigali-rwanda 2016

Sipendi Ubepari

JF-Expert Member
Jan 12, 2012
249
40
Kuna haja ya kuunda mahakama maalum(International Criminal Tribunal for Tanzania "ICTT") itakayosikiliza kesi mbalimbali za mauaji/kujeruhi na vitisho yaliyofanywa wakati wa Vuguvugu la mabadiliko ya kisiasa(M4C 2010-2015) na Utawala uliopita wa CCM hapo 2016. Ukiangalia mtiririko huu toka Arusha 2011, Songea na Morogoro, kuna kila sababu za kujiridhisha pasiposhaka kuwa mahakama kama ile ya ICTR ya Rwanda ianzishwe pia ICTT kwaajili ya TZ. Uwanja wa mahakama hii upanuliwe ili isikilize pia kesi za mauaji ya Pemba 27 januari 2001 yaliyofanywa na utawala wa Mkapa. Makao makuu ya ICTT yawe Kigali-Rwanda ambapo watawala wa sasa na wa awamu ya tatu watafunguliwa kesi za jinai.
 
..ayo mauaji..yana qualify kua regarded as INTERNATIONAL CRIMEs?! If YES,sawa...kama sio,ujue izo ni ndoto...as y shud we have INT CRIMINAL COURT y our LOCAL COURTs have Wider Jurisdctns to deal with those crimes?
 
Local courts zetu zimekuwa polluted na siasa na ndio maana hata watu wasio stahili wanateuliwa kuwa majaji. Hivyo justice cannot be served in our local courts hence the need for an International court to try criminal acts that are perpetrated by the ruling party and its government.
 
Back
Top Bottom