Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la Freeman Mbowe na wenzake, kesi kuendelea ikipangiwa Jaji mwingine

Mwamba ni mwepesi kama pamba
Yeye anaetumia vikao kujenga chama chake na nyinyi mnaotumia policcm na kila aina ya vyombo vya dola kuwanyamazisha na kiwafungulia kesi za uongo Nani mwepesi?

Kwasababu nyinyi bila ya hivyo vyombo ham na uwezo wa kushindana na huyo unaemuona ni mwepesi.

Makongamano mnaweka lakni wakiweka wao tayar mnaagiza wale mbwa wenu wa washughulikie sasa kama ukidume na kujimudu uweke uwanja uwe sawa uangalie utakavyo tomb*wa.
 
Vitabu vitakatifu vya dini pamoja na mila zetu vinazuia kumnanga, kumtusi na kumsemea uongo marehemu. Hii inazuia kwa sababu marehemu hawezi kujitetea. Hivyo kumsemea uongo na kumtusi ni dhambi mbaya sana.

Mbowe akijua hilo bado alizunguka Tanzania nzima kumtusi JPM na kumsemea uongo wa waziwazi, mambo ambayo hakuweza kusema JPM akiwa mzima. Karma ya kosa hili haitamwacha salama Mbowe. Hakika imeanza kumtafuna na itaendelea kumtafuna yeye na familia yake.

Akiwa mjanja aombe msamaha kwa umma kwa yote ya uongo aliyomsemea JPM. Kukataa jaji hakutamsaidia. Ndiyo kwanza anazidi kuchochea moto. Wewe ni mkosaji unachagua polisi wa kukukamata?

Tujifunzeni kuwa waungwana hasa kwa ndugu zetu marehemu ambao wametangulia mbele ya haki. Tuache maneno ya kebehi na mizaa kwako. Hiyo ndiyo safari yetu wote. Tunaishi tu kwa neema ya Mungu lakini hakuna mwanadamu aliyekamilika.
Wewe una akili mbovu sana, akina Hitler wamewafanyia watu unyama karibia miaka 80 imepita lakini bado wanasemwa hadi leo sasa Magufuli ni nani.

Huwezi ukatesa na kuua watu kisha ufe halafu punguani wengine ndio waje kudai eti usisemwe, kivipi hilo halipo na acheni unafiki bwana.

Hao aliowanyanyasa kwani hawakuwa binadamu. Acheni kushangilia wakati mtu mmoja anakandamiza haki za wengine mkafikiri atadumu milele kisa tu mnanufaika na kuwa kwake hapo kwa wakati huo elewa kwamba kuna kesho pia.
 
Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe inaendelea leo kwenye mahakama ya mafisadi.

Pia soma > Mahakama ya Uhujumu Uchumi: Mvutano mkali kesi ya Mbowe na wenzake. Hatma ya kesi kujulikana Septemba 6

Mungu ampe wepesi mwanasiasa huyu nguli, amen

View attachment 1926049
Freeman Mbowe akiongea na Mawakili wake

----
UPDATE: MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI PINGAMIZI LA MBOWE
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imetupilia mbali pingamizi la Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake

Mbowe na wenzake walikuwa wakipinga Hati ya Mashtaka yanayowakabili wakidai ina kasoro za kisheria, hivyo kuomba Mahakama iitupilie mbali.

Pia soma > Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye
Unaonekana wewe ni mtupu kabisa katika masuala ya sheria.

Ni hoja moja tu ndiyo mahakama imekataa, mengine imekubali kwa 100%, na mengine kwa 50%.
 
Ma CCM yatajuta hii kesi ilikuwa miss-calculation sasa hivi yanashimdwa yaiteme VIP hii kesi.
Ndugu yangu kwa kauli Hii ni wazi hujui Sheria, siasa, propaganda na mazingira ya kidiplomasia ya nchi yetu
 
Halafu ikawaje?
Jaji amekubali baadhi ya hoja. Hoja pekee aliyoikataa ni ya kufuta mashtaka. Badala yake amewataka mawakili wa Serikali kurekebisha hati ya mashtaka, ambao kwa kweli, kwa wanaojua sheria, ni uamuzi wa kijinga. Siku zote kwa taratibu za mahakama, ukifanya kosa kwenye hati ya mashtaka, na makosa hayo yakawa ni ya msingi, kesi inafutwa. Ukitaka unaweza kufungua kesi upya. Hiyo ndiyo sababu ya washtakiwa, kutoridhika, na kumtaka Jaji ajitoe. Jaji ameridhia kujitoa.
 
We kundugani hiyo mahakama haijawahi kamata fisadi yeyote Yule wala kumfunga fisadi yeyote nchi hii ndo maana chadema walikkuwa wanahoji na kamq mbowe angekuwa fisadi kwa vituko ambavyo mmeshamfanyia angekuwa jera miaka mingi sana tena kifungo kzto sana nchi hii mafisAdi na mahujumu uchumi majambazi makubwa yapo CCM hili unalijua mwenyekti wako WA CCM analijua mwendazake alikuwa anajua mkwele anajua mambumbu CCM wote mnajua hili viongoz WA nchi hii wote wastaafu na waliopo ndio mafisadi na majizi na mahujumu uchumi WA taifa hili lakini hiyo mahakama itawakamata vp hao waliyoianzsha labda kama lengo la hii mahakama ni kumshughurikia mbowe kisiasa na kiuchumi maana mahakama zngn zmechemka zote labda ndo wanajaribu na kwny hii ambayo washitakiwa wote wanatakiwa wawe viongoz WA CCM wastaafu na waliopo wote kwasasa
Kwa kuongezea na MAGAIDI kwao ni humo humo kwenye Chama Cha Magaidi!
 
Wewe una akili mbovu sana, akina Hitler wamewafanyia watu unyama karibia miaka 80 imepita lakini bado wanasemwa hadi leo sasa Magufuli ni nani.

Huwezi ukatesa na kuua watu kisha ufe halafu punguani wengine ndio waje kudai eti usisemwe, kivipi hilo halipo na acheni unafiki bwana.

Hao aliowanyanyasa kwani hawakuwa binadamu. Acheni kushangilia wakati mtu mmoja anakandamiza haki za wengine mkafikiri atadumu milele kisa tu mnanufaika na kuwa kwake hapo kwa wakati huo elewa kwamba kuna kesho pia.
Acha karma imtafune Mbowe.
 
Una maanisha kaka yake Mbowe?
Yule mwovu, yule katili, yule muuaji, yule mwenye biopolar disorder, yule aliyekuwa anajiita mwendawazimu, yule aliyeyejiita jiwe, yule aliyekuwa hajui kiingereza, yule mwenye Phd feki.... I mean yule aliyekuwa amekuweka kinyumba na kukupa u-DC wa Kisarawe.
 
CCM maji ya shingo...!! Na bado mtahaha sana katiba mtaitoa tu mtake msitake.

Hata kuandika hati ya mashitaka hamuwezi - watu nyie mnatia aibu taifa letu...haya rudieni kuandika haraka mrudi tuwapige tena.
 
Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe inaendelea leo kwenye mahakama ya mafisadi.

Pia soma > Mahakama ya Uhujumu Uchumi: Mvutano mkali kesi ya Mbowe na wenzake. Hatma ya kesi kujulikana Septemba 6

Mungu ampe wepesi mwanasiasa huyu nguli, amen

View attachment 1926049
Freeman Mbowe akiongea na Mawakili wake

----
UPDATE: MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI PINGAMIZI LA MBOWE
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imetupilia mbali pingamizi la Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake

Mbowe na wenzake walikuwa wakipinga Hati ya Mashtaka yanayowakabili wakidai ina kasoro za kisheria, hivyo kuomba Mahakama iitupilie mbali.

Pia soma > Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye
Mungu hajawahi kushindwa na shetani au siyo Erythrocyte
 
Acha karma imtafune Mbowe.
Karma kitu gani wakati ni kesi zile zile za ccm za kubumba dhidi ya wapinzani sasa subiri mje muone impact yake kwa uchumi wa nchi huoni hata sasa tozo zimezidi.

Hii serikali haiwezi kuendesha nchi kwa hizi fedha za tozo na kwa kesi hizi za kijinga hakuna bakuli la hii serikali itakayo dondoshewa kitu na kama ni kuumia tunaumia sote hakuna cha ccm wala wapinzani.
 
Yule mwovu, yule katili, yule muuaji, yule mwenye biopolar disorder, yule aliyekuwa anajiita mwendawazimu, yule aliyeyejiita jiwe, yule aliyekuwa hajui kiingereza, yule mwenye Phd feki.... I mean yule aliyekuwa amekuweka kinyumba na kukupa u-DC wa Kisarawe.
Ok mkwe wa Mbowe! nimekupata.
 
Back
Top Bottom