Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la Freeman Mbowe na wenzake, kesi kuendelea ikipangiwa Jaji mwingine

Vile mwendakuzimu amefurahia uzi wako huu kutokea huko kuzimu😁😁😁
View attachment 1926319
1630926435446.png
 
Vitabu vitakatifu vya dini pamoja na mila zetu vinazuia kumnanga, kumtusi na kumsemea uongo marehemu. Hii inazuia kwa sababu marehemu hawezi kujitetea. Hivyo kumsemea uongo na kumtusi ni dhambi mbya sana.

Mbowe akijua hilo bado alizunguka Tanzania nzima kumtusi JPM na kumsemea uongo wa waziwazi, mambo ambayo hakuweza kusema JPM akiwa mzima. Karma ya kosa hili haitamwacha salama Mbowe. Hakika imeanza kumtafuna na itaendelea kumtafuna yeye na familia yake.

Akiwa mjanja aombe msamaha kwa umma kwa yote ya uongo aliyomsemea JPM
. Kukataa jaji hakutamsaidia. Ndiyo kwanza anazidi kuchochea moto. Wewe ni mkosaji unachagua polisi wa kukukamata?

Tujifunzeni kuwa waungwana hasa kwa ndugu zetu marehemu ambao wametangulia mbele ya haki. Tuache maneno ya kebehi na mizaa kwako. Hiyo ndiyo safari yetu wote. Tunaishi tu kwa neema ya Mungu lakini hakuna mwanadamu aliyekamilika.
Watuombe msamaha kwanza wale waliosema JPM yuko mzima na yuko ikulu anachapa kazi.
 
hivi mawakili wa mbowe kwanini wasiachie kesi iendelee ? hivi kuichelewesha kwa mapingamizi siyo kumuumiza mtuhumiwa kweli? mawqzo yangu tu sijui sheria
Afadhali umesema hujui sheria,kwa hiyo acha wanaoijua sheria waendelee kufuata taratibu zote mpaka kieleweke
 
Vitabu vitakatifu vya dini pamoja na mila zetu vinazuia kumnanga, kumtusi na kumsemea uongo marehemu. Hii inazuia kwa sababu marehemu hawezi kujitetea. Hivyo kumsemea uongo na kumtusi ni dhambi mbya sana.

Mbowe akijua hilo bado alizunguka Tanzania nzima kumtusi JPM na kumsemea uongo wa waziwazi, mambo ambayo hakuweza kusema JPM akiwa mzima. Karma ya kosa hili haitamwacha salama Mbowe. Hakika imeanza kumtafuna na itaendelea kumtafuna yeye na familia yake.

Akiwa mjanja aombe msamaha kwa umma kwa yote ya uongo aliyomsemea JPM. Kukataa jaji hakutamsaidia. Ndiyo kwanza anazidi kuchochea moto. Wewe ni mkosaji unachagua polisi wa kukukamata?

Tujifunzeni kuwa waungwana hasa kwa ndugu zetu marehemu ambao wametangulia mbele ya haki. Tuache maneno ya kebehi na mizaa kwako. Hiyo ndiyo safari yetu wote. Tunaishi tu kwa neema ya Mungu lakini hakuna mwanadamu aliyekamilika.
Unamzungumzia yule muuaji aliyedhani ana uwezo wa kuua watu wasio na hatia na asijue kuwa yeye korona itamwondoa?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kwa kua kesi ni ya kupikwa basi mbowe na team yake wanapaswa kutumia akili na kwenye hilo tayari wamesha onyesha mwanga mzuri leo
 
Back
Top Bottom