Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la Freeman Mbowe na wenzake, kesi kuendelea ikipangiwa Jaji mwingine

Inafichwa fichwa

Vyombo vya media za Tanzania vinatakiwa kama wanavyodai kuwa media ni mhimili wa nne, wadai haraka nafasi yao ya mbele wakiwa Mahakamani ili waweze kuripoti kesi hii yenye maslahi mapana kwa umma wa Tanzania na wadau wa maendeleo.

Na media watafute waandishi wataalamu wa habari hizo wanazoandika ziwe za kijamii, kisiasa, kimahakama, kipolisi, kimichezo, habari mchanganyiko, udaku n.k kwa kutaja kwa uchache mhimili huu wa nne ndivyo unavyotakiwa kuchapa kazi yao muhimu ya kuhabarisha umma, information is power / ufahamu (taarifa sahihi) ni nyezo muhimu kwa raia

Tanzania Transparency Journalists Association | Facebook
Rais ajaye atambue vyombo vya habari ni mhimili kamili! Na Komba Kakoa- Imetumika Taifa Letu YAPO mambo kadha wa kadha ya hadaa dhidi ya
Tumaini Makene mwandishi nguli - Tunatamani kuona (leo) mazungumzo ya Mhimili wa Dola unapokutana na Mhimili wa Nne kati ya ile Mihimili ya Serikali. Mbali ya Bunge, Vyombo vya
22 Aug 2017 — Aliyekuwa mgombea urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ally Mayay amesema waandishi wa habari wana mchango
Waandishi wa Habari wawania nafasi za kisiasa Tanzania - DW
17 Jul 2020 — Nchini Tanzania safari hii kumeshuhudiwa kundi kubwa la waandishi wa habari wanaotajwa kuwa ni mhimili wa nne
Faini kubwa zinaviumiza vyombo vya habari - Mwananchi
7 Jan 2018 — Ukiachilia mbali Serikali, Bunge na Mahakama – vyombo vya habari ni mhimili wa nne wa dola. Vyombo hivi duniani kote ndivyo hufanya
 
Vyombo vya media za Tanzania zinatakiwa kama wanavyodai kuwa media ni mhimili wa nne, wadai nafasi yao ya mbele Mahakamani ili wazewe kuripoti kesi hii yenye maslahi mapana kwa umma wa Tanzania na wadau wa maendeleo.
Na habari hizo ziwe za kijamii, kisiasa, kimahakama, kipolisi, kimichezo, habari mchanganyiko, udaku n.k kwa kutaja kwa uchache mhimili huu wa nne unavyotakiwa kuchapa kazi yao muhimu ya kuhabarisha umma, information is power / ufahamu (taarifa sahihi) ni nyezo muhimu kwa raia
Hatuna vyombo vya habari mzee, habarileo, sijui TBC, channel 10 vitaripoti nini?
 
Back
Top Bottom